REv Kishoka naona umemuunga mkono Tumaini ambaye ni muislamu anasupport suicide bombers,anataka Zenji yake,na Waarabu wake ndio anawahusudu kuliko mtu yoyote.
Tumaini,kama Wazenj wengi huko UK,wamejilipua ,lakini bado wanaenjoy benefit za Mzungu,lakini hawana shukrani.Nasema siwezi kumhusudu Mwarabu !
Tumaini kama uko passionate na Palestine kajilipue huko uuwe Majew,uenda mbinguni kwa Allah wako.Au kajiunge na Al Shabaab.
Fact ni kwamba rafiki yako Ghadaffi alimpa mwislamu mwenzako msaada wakati alituzamia Tanzania.Target ilikuwa hata Bugando hospital,ambapo Wajew waliijenga.
Idd Amini alistaafu kwa Wasaud,ambao wamekujengea misikiti mingi Tanzania.
Watanzania tuslikubali Islamisation,otherwise tutakuwa kama Pakistan,Iraq,Iran etc.
unaweza tupa ushahidi wa mojawapo ya wakoloni waliochoma watumwa moto ili tujifunze vizuri historia hii mpya? harafu tambua kuwa mtu afanyapo mabaya ni kwa faida ya mwili wake si kwa ajiri ya Mungu anayemwabudu, NA NDIYO MAANA HATA WANAKATAA KULA NYAMA YA NGURUWE KWA MADAI KUWA NI HARAMU kwa faida ya miili yao lakini wake za si haramu, kuroga si haramu, kusoma albadil mtu adhulike si haramu, kuoa wake 3, 4 si haramu wakati hata kwa mujibu wa kampeni za ishi tu ni haramu mtu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, hivi unataka kuniambia kuwa Allah amezidiwa akili na watu wa kampeni za ukimwi? Pia Mungu aliyekataza kula kitimoto, alikataza pia na ngamia lakini waislmu tena waasisi wa imani hiyo ambao ni waarabu wamemfanya ngamia kuwa kitoweo, na maziwea yake kuwa kinywaji kizuri, Mungu huyo huyo alikataza pia kula samaki wasiyo na magamba leo Waarabu hawali pweza kwa madai kuwa ni jini bahari, lakini waslamu wa tanzania wanafakamia pweza sasa hapo vipMmakonde,
Unataka niambia katika Historia ya Ukristo hapajawahi kufanyika vitendo vya kifedhuli na umwagaji damu ambako ni kinyume na mafundisho ya Mungu katika kampeni ya kusambaza Ukristo?
Je Ukoloni ulipoingia Afrika na kuanza kuchoma watu moto na kuwapeleka mateka utumwani kwa Jina la Mungu au Ubaguzi wa Rangi kwa Jina la Mungu na Yesu, nako tusemeje?
Au ulimbukeni ni kuona kibanzi kwa mwenzako lakini ukungu wa boriti kwenye jicho lako huuoni?
ajenge misikiti ili mwongezeke muwe wengi mwanze kujilipua kwa imani zenu za kihuni za WAISLAMU wenye msimamo mkali eeee? hao wwanamwabudu mungu gani kama si shxxxxxni maana ndiye mwenye msimamo mkali dhidi ya Mwenye enzi Mungu. maana huwezi kulipua watu wasiyo na hatia nje harafu jioni uende msikitini useme allah akubar, allah akubar gani na umeua watu weye?Ningependa Tanzania ambayo haipokei chochote toka nje.Kama nchi rafiki zitaamua that is good!Mwarabu atakupa msaada kwa kukujengea misikiti kibao,Mje technical assistance,hiyo ni fact kwa tanzania miaka mingi sasa!
ajenge misikiti ili mwongezeke muwe wengi mwanze kujilipua kwa imani zenu za kihuni za WAISLAMU wenye msimamo mkali eeee? hao wwanamwabudu mungu gani kama si shxxxxxni maana ndiye mwenye msimamo mkali dhidi ya Mwenye enzi Mungu. maana huwezi kulipua watu wasiyo na hatia nje harafu jioni uende msikitini useme allah akubar, allah akubar gani na umeua watu weye?
unaweza tupa ushahidi wa mojawapo ya wakoloni waliochoma watumwa moto ili tujifunze vizuri historia hii mpya? harafu tambua kuwa mtu afanyapo mabaya ni kwa faida ya mwili wake si kwa ajiri ya Mungu anayemwabudu, NA NDIYO MAANA HATA WANAKATAA KULA NYAMA YA NGURUWE KWA MADAI KUWA NI HARAMU kwa faida ya miili yao lakini wake za si haramu, kuroga si haramu, kusoma albadil mtu adhulike si haramu, kuoa wake 3, 4 si haramu wakati hata kwa mujibu wa kampeni za ishi tu ni haramu mtu kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, hivi unataka kuniambia kuwa Allah amezidiwa akili na watu wa kampeni za ukimwi? Pia Mungu aliyekataza kula kitimoto, alikataza pia na ngamia lakini waislmu tena waasisi wa imani hiyo ambao ni waarabu wamemfanya ngamia kuwa kitoweo, na maziwea yake kuwa kinywaji kizuri, Mungu huyo huyo alikataza pia kula samaki wasiyo na magamba leo Waarabu hawali pweza kwa madai kuwa ni jini bahari, lakini waslamu wa tanzania wanafakamia pweza sasa hapo vip
Anyisile,
Una umri gani? Nauliza hivi maana inawezekana mwenzangu wewe Historia ya Biashara ya Utumwa unayosoma inawezekana ni ile iliyochujwa ya kumfanya Mzungu aonekane ni shujaa na mtu bora!
Anyway nitakusaidia.
Wareno, Wahispania, Waingereza, Wafaransa, Wajerumani, Wadachi na Wazungu wote (Mataifa) ambayo yaliwahi na kuwa na koloni sehemu yoyote ile duniani, yalimwaga damu, kuchoma watu na kunyanyasa watu kwa kutumia hata dini.
Nenda Marekani ya Kusini kwa wale natives wa Mayans na Wahindi wekundu uone walivyonyanyaswa na wakoloni huku Kanisa likifumba macho udhalimu na uonezi.
Njoo Afrika, ukoloni na utumwa umefanyika huku kanisa likikaa kimya na kunufaika kutokana na matunda ya ukoloni na mataifa mama!
Kama kweli Ukristo ulioletwa kwetu Afrika na Mzungu ulisimamia haki, basi ungeepiga vita Ukoloni, Unyonyaji, Utumwa na Uonevu uliofanywa kwa miaka zaidi ya 200!
Inavyoonekana kwa muanzishaji mada hii na wachangiaji wengine tatizo si msada aliotowa Muamar Gaddafi bali tatizo ni imani yake ya kidini. Kama kuna wenye udini basi ni hawa jamaa sio yeye kwani yeye hajasema kuwa msada huo uwanufaishe waislamu na sio wanaoamini itikadi nyingine za kidini. Yeye hajatamka mambo ya dini hapa. Wao wanaolileta hili la udini ndio wao wenye tatizo hilo. Inasikitisha kuwa na jamaa kama hawa miongoni mwetu!!!!!
Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Gadafi alijutia baada ya kumsaidia Amin. Alimtimua Amina Libya na Amin akakimbilia Saudi Arabia. Gadafi hajasahau kwamba Nyerere alimrudishia wanajeshi wake waliokamatwa vitani Uganda bila kudai compesation. And Gadafi has said such in public. He has an affection for Tanzania and I believe him to be genuine.
Kitu ambacho mnasahau ni kwamba Gadafi alijutia baada ya kumsaidia Amin. Alimtimua Amina Libya na Amin akakimbilia Saudi Arabia. Gadafi hajasahau kwamba Nyerere alimrudishia wanajeshi wake waliokamatwa vitani Uganda bila kudai compesation. And Gadafi has said such in public. He has an affection for Tanzania and I believe him to be genuine.
Watu wamemsifu Ghadaffi kwa kusaidia Tanzania (mafuriko).Tukumbuke huyu jamani alimsaidia Muislamu mwenzake Idd Amin Dada alipovamia Tanzania.Tangu siku hizo sijamuamini kabisa.
Do you think kama Tanzania tungekuwa na uhusiano na state ya Israel angetusaidia?Kwa hiyo suala linakuja ,kwa nini nchi yetu mpaka leo,tumeshindwa kuwa na ubalozi huko nchini Israel wakati walitoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa landmark buildings kama Kilimanjaro hotel etc?[/QUOTE]
Simple!!! na jibu ni lazima unalijua, la kama unajibabaisha, basi endelea tuuu. Israel hawana nchi. Hiyo State yao inayoitwa "State of Israel" imelazimishwa tu juu ya ardhi ya Palestine, ni "Occupied land of Palestine". Imelazimishwa na walio wachafu na mahabithi miongoni mwao, chini ya movement ya kiZayuni (Zionism), kama mwaka umeusahau, basi nakukumbusha, ni 1948, ukweli ni kwamba hawana nchi, kamwe. As simple as that, but just as complex as the above movement has programme you and others to accept.
Binamu na ndugu zao waPalestine, waislamu, walikaa nao kwa muda mrefu bila ya vurugu, na hata baada ya kuhilikishwa na kuuliwa (Halacaust) na wakristo wa ulaya, kwa tuhuma za eti wao ndio waliomsaliti Yesu, ndugu zao hawa waliwapokea kwa mikono miwili na kuwapa makaazi. Tatizo ni UZAYUNI.
Hicho kiiniimachoo wanachokifanya waZayuni mpaka ikafikia hatua ya hivyo wewe na wenzio mnavyobabaika na unjezi wa landmarks, etc, ...nafikiri juzijuzi hapa jamvini mlikuwa mkiorodhesha na kusifia, ni simple, ni kiinimacho/deception: NI KUTAFUTA JUSTIFICATION YA MALENGO YAO, KUJARIBU KUVUTA SYMPATHY KWA WALIMWENGU, NA KUFICHA MAOVU YAO. Simple !!!
Kuna majibu simple zaidi ya hayo hapo juu ambayo tayari unayajua??, au huyataki tuu?? Don't violate your intellect.
Ghadhafi (Gadafi) pamoja uTyranny wake ambayo hiyo ni another story line, lakini ana nchi yake, Libya. Taifa lake hali-occupy ardhi ya nchi au Taifa jengine lolote. Can it be any simpler than that?? Can you understand???
Kiinimacho cha hizo landmarks ni rahisi kuzifahamu, je una jengine linalokusugua hata upende Tanzania iwe na mahiusiano ya kibalozi na waZayuni???