PostGE2025 Kanali Augustino Polepole asipuuzwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu naye hana lolote mtu wa kufanya kweli hana tantalila nyingi kama kweli analo la kufanya sasa hivi nyumbani kwa Mafwele na Wambura kungekuwa kumefungwa turubai wauaji wenzao wanaomboleza.
 
Huyu naye hana lolote mtu wa kufanya kweli hana tantalila nyingi kama kweli analo la kufanya sasa hivi nyumbani kwa Mafwele na Wambura kungekuwa kumefungwa turubai wauaji wenzao wanaomboleza.
Kila kitu ni mikakati mkuu.Anapambana na serikali na sio mtu mmoja , kwa kifupi anapambana na mtandao mkubwa sana . haiwezi kuwa rahisi but with time , Kila mpango wake utakamilika
 
Sahivi ndo nimekumbuka sisee mange aliongea kwa code sn alijutahid kuficha i lkn tulielewa
Ss nime connect aisee
 
Kila kitu ni mikakati mkuu.Anapambana na serikali na sio mtu mmoja , kwa kifupi anapambana na mtandao mkubwa sana . haiwezi kuwa rahisi but with time , Kila mpango wake utakamilika
Kabisa nashangaa watu hapa ooh anaongea sn
Si bora ht anaeongea na sura hajaficha kuliko hapa kazi kulalamika wanaume wazima
 
Nimetoka kuongea Jambo hili kama mtoa mada ulivyosema , wabongo wengi naona bado hawajui mambo haya.
Huyu jamaa hatakuja tena kuongea hadharani mpaka alipize kisasi ni Jambo gumu Sana kaongea huyu jamaa na hata kama itachukua miaka 5 mbele lazima atakuja kufanya balaa kubwa Sana

Kwa wale ambao wametajwa kwenye list yake wataishi Kwa mashaka sana
 
Umesema vyema..yaani hicho ni kisasi cha kizazi na kizazi .watu wanafikiri atafanya kesho au keshokutwa but with time jamaa atafanya kweli kama Mungu akimpa uhai..And he's not acting alone kama ilivyokua kwa polepole ..Ninauhakika alikua mjumbe wa kwanza kabisa katika mipango ya polepole na tayari walikua wamejipanga kijeshi
 
Ile tabia ya kusubiria tukio ndiyo tunareact itajimaliza yenyewe
 
Inakua kama lile muvi la Rambo first blood series

FIRST BLOOD SERIES.
KUNA ILE MOJA RAMBO ANAPELEKWA UWANJA WA VITA...ILE ANASHUSHWA KWENYE NDEGEEE...PUNDE ILE NDEGEEE INA GEUKA NA KUANZA KUMSHAMBULIA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…