Kamwe jasili haachi asili asilani.
Na moshi huwezi kuuzuia kusambaa kwa kuufunika na shuka.
Mpiga kelele hanyamazishwi kwa kufungwa mdomo.
Nyani ni yule yule wazamani ndani ya msitu mpyaa.
Haina kwereee pamoja sana wana jamvi.
Mbisha hodi zaidi ya mara 3 ni mnafiki.
Sina budi kubisha hodi kama ilivyo desturi yetu bali wakati wa kuondoka huwa tofauti wengi hutupiwa vilago vyao nje na kufungiwa mlango kabisa na kuto pata nafasi hata ya kuaga au kusema neno la mwisho.
Karibu sana, lakini nahisi kama wewe ni mwenyeji vile.
ukimaliza kuvuta hisia usisahau kunihisisha mi nimwenyeji au mgen??
hii id nyingine! karibu mkuu.
kama ilivyo hii ya kwako .
siunajua tena twajuana kwa viremba?