Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,628
- 15,742
Wanawake wa kileo wengi wao ni wezi,vibaka na matapeli..wadogo zetu wanaokataa ndoa wana hoja wasikilizweKwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Huyo mwanamke ni mwizi bila kujali ameiba kiasi gani, aina hii ya wanawake ni ile wanaiba vitu ndani wanaenda kuuza.1.5m unamchukulia mkeo RB [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anyways naomba nijue jamaa lengo mkewe arudi nyumbani au arudishe hiyo hela aende zake?
Imagine huyo jamaa atakuwa na tabia Gani mbovu nyingine.? Mpaka Sasa sijaona kosa la mwanamke.Jamaa yako ni Mjinga sana
Afu mshamba mmoja hv wa hela
Unampaje Mtu Atm Card Yako.
Ni kosa kisheria
Huyo malaya Yuko sahihi kuiba hizo hela japo ni pesa kiduchu sana.
Tabia za OvyoImagine huyo jamaa atakuwa na tabia Gani mbovu nyingine.? Mpaka Sasa sijaona kosa la mwanamke.
kama kawaida[emoji28]Jamaa kaongezea au siyo
Huyo mwanamke ni Kiazi.Kweli naye huyo dada njaa sasa milion 1.5 itamfikisha wapi si baada ya week 2 hana kitu na ndoa hana na polisi wako on her trail.
Maana akisema apange chumba anunue na.godoro ishaanza katika
Hii ni chai ya asbhi mno, kwani kiwango Cha mwisho kutoa kwenye ATM ni kiasi gan Kwa siku?Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
Aisee tumefika huku😀Na mama yako anamvizia Baba yako siku akikaa vibaya auze Bandari iliyozubaa hapo kwenu
Yani unaacha kumuamini mkeo, unaenda kumuamini mke wa mtu mwingine?
Cute wife namuamini, kwenye hili naomba mniwie radhi mabaharia wenzangu
Wala sina mpango wa kumtaka, kama kutaka nitakutaka wewe, napenda mwanamke mcharuko kama wewe aka mcheshi😅Mhmmm!! Jirani haiombwi hivyo [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kwa kuongezea hapo kabla hujaoa zijue Tabia za mama mkwe wako mtarajiwa maana ndio copy ya binti yakemke anakuibiaje alafu akimbie si anachukua tu anatulia....huyo alioa malaya flani hawa wanaojificha kwenye u barmaid na uhudumu wa vyakula migahawani....unamwelewa unamweka geto...kumbe ni ka single mom au kamemwacha mume huko kijijini kwa kisngizio cha kutafuta maisha mjini sana ana jibana anatuma visent home kwa makidi zake siku akikuotea anajilipa anaenda zake kwa mumewe au wanae..ndio utajua hujui hawa mabinti wa pub wana hadisi ndefu sana..sio wa kawaida.. ndoa kaoe kwenye mji unaoufahamu oa mwanamke unamtoa kwao si unakutana nae unamwita na anahamia fresh tu...
I know you betterKwa nini unasema hivyo
Wala sina mpango wa kumtaka, kama kutaka nitakutaka wewe, napenda mwanamke mcharuko kama wewe aka mcheshi[emoji28]