Ndombe Mubele
JF-Expert Member
- May 19, 2019
- 258
- 556
Kina siye😍Wanawake wenye umri kuanzia 40 ndo wanajielewa
kweli kabisa, baba nae anatamani kumwacha!Mama yako nae haaminiki Kwa Baba yako
Na mama yako anamvizia Baba yako siku akikaa vibaya auze Bandari iliyozubaa hapo kwenuMama yako nae haaminiki Kwa Baba yako
Kweli naye huyo dada njaa sasa milion 1.5 itamfikisha wapi si baada ya week 2 hana kitu na ndoa hana na polisi wako on her trail.Kwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
[emoji38][emoji38]Na mama yako anamvizia Baba yako siku akikaa vibaya auze Bandari iliyozubaa hapo kwenu
Kaiba Tsh 1.5m , huyo mwanamke siyo mrembo, mke unamwachia mpak ,40Million , mnaishi fresh tuuKwema Humu?
Kama kichwa Cha Habari Kiinavyosema Aisee Hawa Wanawake kamwe usije kuwaamini kabisa Nina Jamaa yangu yamemkuta mambo mazito.
Jamaa Alimuoa Huyu binti mrembo miaka 4 iliyopita Baada ya hapo maisha mengine yakaendelea.
Sasa juzi kaja kupigwa tukio na Huyu binti Aliyemuoa Ni Hivi Walienda bank kutoa Pesa walivyomaliza Jamaa akampa Pesa ya matumiz mkewe Akampa na ATM card akamwambia arudi nayo nyumbani Yeye anaelekea kwenye mishe zake Wakaagana Kila mtu akasepa.
Kumbe mkewe hakurudi nyumbani akaenda Bank kwenye tawi jingine kabisa Akatoa Pesa Kama 1.5m (Namba za Siri za Akaunti ya mmewe alikua Anazijua) akasepa zake na kutokomea kusikojulikana.
kwa Sasa Mwanamke hajulikani alipo kwa ndugu zake hayupo Simu zake hazipatikani Jamaa Bado Anamtafuta mkewe tayari Ameenda kuripoti polisi na Amechukua RB.
Mwisho: Mwanamke pekee wa kumuamini Ni Mama yako tu
La sivyo utalia ukiwa kwenye sink la ChooKula chuma hicho
Weka ndani Mwanamke anayekupenda na sio unayempenda.
Hakikisha upendo wake unazidi wa kwako la sivyo ........................
Vitoto kama weweSiyo singlemom huyo? Maana humu singlemom ndo wenye changamoto