Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Tulianza tukiwa chuo 1st yr now in 4 yrs tumemaliza chuo na wote tunafanya kazi nzuri tu, ila huyu bwana hana mpango kanisaa tho wrote no under 30yrs may be he is too young but Kwa msichana umri unapepea
Mume wako yuko mahali ana mwingine ila hamjakutana tuu n trust me atakuwa mkubwa kwako si chini ya miaka 5
 
Haha chance itapungua endapo na mwanadada hajitengenezei kipato cha kujikrep na kufanya maendeleo yake binafsi
 
Haha chance itapungua endapo na mwanadada hajitengenezei kipato cha kujikrep na kufanya maendeleo yake binafsi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115]
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…