Ni kwel ila me naamin mahali ni kuiziana kwa lugha nyinginetrue true naunga mkono hoja..unatoa mahali bado anakusumbua anapigwa pigwa nje tu...sitaki kusikia kitu kinaitwa mahari...kama atakubari tukae pamoja tulee mtoto/ watoto basi..hii mambo ya kwenda kutoa sijui 2.5..e.t.c kwangu hapana hela mingi hizo bora ule hata kabata kadogo dogo
Bikra zipo ngapi Sweet16!!? Ama ndio wazee wa[emoji872]Watu wanalipiwa mahari tena kuuubwa na unakuta hana bikra hata moja
Wala hakina maana, wapenda ngono wote wanalijua hiloBikra ni kitu kidooogo sana ktk ndoa
Hizo taratibu ni za mwaka 123.BCKwahiyo ni sawa mtu kuolewa akiiwa hana hata moja? Je wale wanaweka desturi ya mtu kuolewa lazima awe bikira wanakosea?
Mahali ni sehemu kwa kiswahili kingine.Mahali kwa kisw kingne ni kuuzwa, si lazima uuzwee kikubwa ni kuwa na maisha ya raha ktk ndoa[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno lenye maana zaidi ya moja, usiwe mgeni wa lughaMahali ni sehemu kwa kiswahili kingine.
Wewe ndio mgeni wa lugha halafu unajifanya unajua zaidi lugha.
ulivyoandika kwa mbwembwe utafikiri wewe unayo? au unafikiri bikra ni kwa wanawake tu?
hamna, sipo hivyo me napenda sana kuelekezwa, nimefurahi kwa kunielekeza, asanteh.Wewe ndio mgeni wa lugha halafu unajifanya unajua zaidi lugha.
Ni haki ya mumeo.ha ha ha ha,bikra unataka uipeleke wapi?
Karibuhamna, sipo hivyo me napenda sana kuelekezwa, nimefurahi kwa kunielekeza, asanteh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.
Hata PM hakuna alama ya closedHapana.
Ukiambiwa asante yafaa ujibu karibu. Kwamba nimefurahi nimeweza kukusaidia. Sio ukaribie PM
Haimaanishi uende
Siku nilidhani we were gonna hang outThanks
Siku gani though.