Mama hataki mitikisiko kipindi hiki anachotaka October mtiki mambo yasiwe mengi,kifupi anashambulia na kudefence,ikiwezekana anabeba mpaka pumzi Yako ππ
Abdul mandinga ya kifahari Royce Royce Ferrari na zingine na zile kulaani inadi ndio zimefamya hivi eeh sikusoma sana na sikofaulu mimi nilifeli form 4 nikataga nikareseat eeh trekta million 10 sio trekta elfu 10 ni trekta million 10
Jana nilishinda vibaya baada ya habari za uvamizi wa JF.. Nilitafakari mengi! Leo ndio tumepigwa TKO kabisa!
Msisha bila JF kwa miezi mitatuππππππView attachment 3466775