Kamwe serikali msijeruhusu bangi

Sijaelewa uhusiano wa hizi picha na thread husika!
Hao katika picha nilizoziposti mimi hapo juu ndio wabunge HALISI wa nchi ya Jamaica jinsi walivyo & spika wao akiingia bungeni.

Kwa hiyo Mkuu BIGURUBE .. uhusiano uliopo ni kuwa alieleta hii post amefanya utani ... maana ukiangalia ndani ya bunge la Jamaica nililopost na hao "wabunge" hawapo na wala hakuna mtu wa dizaini hiyo kama alio-waposti hapa Mkuu Sexer
 
Dah Majamaaa Yamajiona Yapo Fit Mentaly
 

Mkuu we kuweka picha ya watu wwnaingia kwenye ukumbi fulani ndo useme ndo wabunge halisi wa jamaica!!, wale nilioweka mie ndo wabunge wenyewe katika picha ya pamoja baada ya vikao, ukicheki kuna mheshimiwa mbunge mmoja pale anaepunga mkono kavaa kabisa likofia la kijamaika kuenzi nchi yake, yaani kama mwigulu na skafu ya bendera ya taifa.
 
Wavuta bangi hawapendi kusikia bangi inasemwa vibaya aisee utawaona wakija hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…