Kaguo Willy
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 192
- 172
Aje tuuHata siku moja usirudiane na mwanamke/demu wako wa zamani aliyekuacha kisa huna pesa.Kwani kaenda kutafuta sasa amekosa ndio maana anarudi kwako labda baada ya kuona umepata au umefanikiwa,hivyo siku akikutana na mwenye pesa kukuzid atakuacha tena.
N.B; Never go back to an old love no matter how strong it.
Kupasha viporo ni muhimumkuu huwa haturudi mazima tunarudi ki-ndege john mguu mmoja ndani
Kiporo mara zote huwa kitamuKupasha viporo ni muhimu
Kuna jamaa kafanya hayo madudu leo , alikuwa na demu jamaa kipato kikakata akamkimbia akawa anagongwa na majamaa kibao tu nje,mungu si KAGUO wala Athumani ,jamaa akapata dili kapata mpunga kibao,Demu kusikia jamaa ana kisu karudisha majeshi na jamaa kama BWEGE mtozeni leo nimeona kampost demu wake FB.....Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.Hata siku moja usirudiane na mwanamke/demu wako wa zamani aliyekuacha kisa huna pesa.Kwani kaenda kutafuta sasa amekosa ndio maana anarudi kwako labda baada ya kuona umepata au umefanikiwa,hivyo siku akikutana na mwenye pesa kukuzid atakuacha tena.
N.B; Never go back to an old love no matter how strong it.
Duh hiyo noma aiseeKuna jamaa kafanya hayo madudu leo , alikuwa na demu jamaa kipato kikakata akamkimbia akawa anagongwa na majamaa kibao tu nje,mungu si KAGUO wala Athumani ,jamaa akapata dili kapata mpunga kibao,Demu kusikia jamaa ana kisu karudisha majeshi na jamaa kama BWEGE mtozeni leo nimeona kampost demu wake FB.....Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Dame ndo huyo mwanamke ila ni lugha 2 mkuuKumbe demu, mi nlifikiri labda mke
hahahaa tunarudi ki ndege john kudonoa.mkuu huwa haturudi mazima tunarudi ki-ndege john mguu mmoja ndani