Kamwe mwanamke hariziki

Kamwe mwanamke hariziki

Mmmh.. naskia kule mnabakana sitaki kubakwa. Hivi ukinitag ukiwa kule sisiikiii
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Chaaaah!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Chaaaah!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna siku sijui nani kaniambia akiwa pm anaogopa kumention jina la mtu asije akapata notification ikawa kesi. Nilicheka
 
Hahaha! Zamani nilikua nasema nataka mkaka mrefu, mwembamba na mweupe!!! Saivi ata sijui.... Nadhani moyo utanidirect tu... Ila asiwe mvivu na tegemezi, mlevi, mvutaji anything zaidi ya oxygen na mshirikina.
 
liwahi kuwa mwembamba nikambiwa sina pa kushikwa
Nikawa bonge nikaambiwa sipigi gemu balabala
Nimeamua kuwa na mpenzi BIA tusker maana yeye hajawahi nitenga
Kilichobaki ni kua weee kama wewe... Asiekukubali mwenye aende...
"He/she is not the only fish in the sea.!"
 
Kuna siku sijui nani kaniambia akiwa pm anaogopa kumention jina la mtu asije akapata notification ikawa kesi. Nilicheka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nahisi haupati notification.
 
Kuna wengine wao wanapenda kuwa karibu na kaka zao ili watembee na marafiki wa kaka zao. Yaani hawana heshima kabisa.
 
Sema hivi
"Kuna wanawake naofahamiana nao hawaridhiki" na sio "wanawake hawaridhiki"
 
IMG_20170316_073445_485.JPG


[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kuwa na fweza wala zisiwe nyingi sana ila kwenye game 6 kwa 6 uwe pilato ukikutana naye piga show kama unakufa leo hapo hata aje dewj atakimbizwa
 
Back
Top Bottom