Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,578
Sasaje!!Hahaha.
you're trying to drive all points at home.
Sasaje!!Hahaha.
you're trying to drive all points at home.
Ila pesa huwa tunawapa bhana... tatizo ni pale unataka tuweke zote mezani then tuzigawaneSasaje!!
Umeolewa lakini?Kumbe ni mashindano!! Mwisho utauliza mbona huolewi?
Hilo sio tatizo bwana, ndivyo inavyotakiwa iwe.Ila pesa huwa tunawapa bhana... tatizo ni pale unataka tuweke zote mezani then tuzigawane
Utakula kwa jasho kijana, acha kutafuta visingizio, lasivyo twende martenity leave.Wanawake bhana, yaani moja ya jukumu lao la kiumbaji (kuzaa) inakua ni point ya kujitetea.
[emoji111] [emoji111] [emoji111] ,,,,,,
Kuna wimbo niliskia wanaimba.Hilo sio tatizo bwana, ndivyo inavyotakiwa iwe.
Binadamu yeyote haridhiki shemeji.Kuna wimbo niliskia wanaimba.
Mwanamke haridhiki
sasa sijui anataka nimpe kipi
Au nimpe kiti moyoni anikae anijae kesho mpaka baadae. Mo anaujua fresh atakuambia
Hajasikia ule msemo huyu ukimchunguza bata?Ili iweje...
Nawashangaa wanaochunguza chunguza tena uchunguzi wanaojua hauna majibuHajasikia ule msemo huyu ukimchunguza bata?
Wee si umesemaga sisi wala chips wewe?kasoro mimi... mimi najua nataka pesa
Na nini labda [emoji4][emoji4][emoji4][emoji12][emoji12]Binadamu yeyote haridhiki shemeji.
Kwani wewe unaridhika?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sasa shemeji unaniuliza swali na kulijibu hapo hapo!!Na nini labda [emoji4][emoji4][emoji4][emoji12][emoji12]
Kitaalam binadamu haridhiki refer maslow's hierarchy of need.
Nilijua labda unajua nisiyoridhika nayo.... unipe dawaSasa shemeji unaniuliza swali na kulijibu hapo hapo!!
Shunie anakutafuta kule kwenye mji wake, kule mlikochunguliana.
Sio kule kwa manga, kule kwingine.Nilijua labda unajua nisiyoridhika nayo.... unipe dawa
Ebu nikaone kama yametendeka
Haha kupi tena nipeleke ebuSio kule kwa manga, kule kwingine.
Akuuu!! Mi mwenyewe sijui hata nilifikaje.Haha kupi tena nipeleke ebu
Mmmh.. naskia kule mnabakana sitaki kubakwa. Hivi ukinitag ukiwa kule sisiikiiiAkuuu!! Mi mwenyewe sijui hata nilifikaje.