Sasa tuwaitaje kumbe
labda laazizimalaazizi!
wewe kama mume wangubasi tutakuwa wagumu tu!mwanzo mwisho
cc:Baba Vbasi tutakuwa wagumu tu!mwanzo mwisho
Unataka jina gani sasa. Au mama koku?
Koho! Koho!. Habari zenu wakuu! Kwa mujibu wa mabadiliko ya hali ya mapenzi na upungufu wa joto la kupendana duniani, mamlaka ya udhibiti wa mapenzi imetoa majina na maana yake kwa wakati huu: DEAR=WAKUZUGIA, SWEET=MSHAMBA,
MY LOVE=ZEZETA,
BABY=MJINGA,
DARLING=-----,
HUSBAND=BUZI. Je mpenzi wako anakuitaje? Tafakari, chukua hatua ya upole!
limefanyaje tena..? Tehe
basi tutakuwa wagumu tu!mwanzo mwisho