Kamusi ya wanyama, ndege, n.k

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
241
Wanajamii Salaam!!

Ninatafuta kitabu kinachoelezea sifa mbalimbali za wanyama, ndege na reptilia pamoja na picha za viumbe hao.

Mfano. Sisi wakati tunakua mzee wetu alikuwa na kamusi ya nyoka (snakes dictionary) iliyokuwa inaelezea almost nyoka wote. Sifa zao, sumu zao, uzazi wao na maisha yao kwa ujumla.

Mwenye kujua wapi vinapatikana vitabu hivyo, naomba anijuze

Nawasilisha
 

Duh!! Humu ndani hakuna anayefahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…