Kila siku huwa mnaimbiwa wimbo mnapoanzisha mahusiano jambo la kucheki afya na kujua status zenu ni la muhimu sana nyinyi mnaangaliana kwa mwonekano wa nje mkijiona mmenawili mnajihisi ni wazima matokeo yake ndio hayo,sio mbaya mwambie jamaa ajikubari na maisha yaendelee.