Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Ishu ni huyu aliyekuwa anaijua hali yake (alikuwa anatumia dawa) kutomweka waz mwenzi wake.ni uuaji huu.Kila siku huwa mnaimbiwa wimbo mnapoanzisha mahusiano jambo la kucheki afya na kujua status zenu ni la muhimu sana nyinyi mnaangaliana kwa mwonekano wa nje mkijiona mmenawili mnajihisi ni wazima matokeo yake ndio hayo,sio mbaya mwambie jamaa ajikubari na maisha yaendelee.
unafikili angemuweka wazi nini kingeendelea??Ishu ni huyu aliyekuwa anaijua hali yake (alikuwa anatumia dawa) kutomweka waz mwenzi wake.ni uuaji huu.
Atakuwa ni yeye mwenyewe anazuga rafiki yake. Akubaliane na hali maisha yanaendelea tu mbona.Hata ukimfanyia cha kumfanyia ndio utapona huo ukimwi?? Na shida sio mwathirika aweke wazi kwan wewe umeshindwa kujiongeza ukapima naye mpaka unaathirika hivo?? Hivi s wanasema anayetumia dose ni mara chache kumuathiri mwenza wake ambaye hajaanza kutumia nyie mlikua mnakomoana?? Kubali hali halisi maisha yaende hata ukimfanyia cha kumfanya haimaanishi ndio utapona, usimsingizie jamaa ako mana haiwezekani ukimwi apewe mwengine hasira zikupate we mshikaji
si ndio hapoAtakuwa ni yeye mwenyewe anazuga rafiki yake. Akubaliane na hali maisha yanaendelea tu mbona.
Nilijua labda kamchoma na kifaa chenye maambukizi. Hayo ni makubaliano yao sioni kama yanakuhusu.Jamaa yangu alichukua demu wana kama miaka miwili sasa.
Kumbe demu kaungua na alikuwa tayari kwenye tiba ila alimficha jamaa yangu asijue.
Sasa wote wawili ni waathirika.
Lakini naamini yote ni kwa sababu demu hakumweka wazi jamaa yangu.
Hatujui hata tunamfanya nini huyu demu. Kifupi hasira zipo juu hata sitaki kumuona huyo demu maana sina hakika ya nitakachomfanyia.
Jamaa yangu alichukua demu wana kama miaka miwili sasa.
Kumbe demu kaungua na alikuwa tayari kwenye tiba ila alimficha jamaa yangu asijue.
Sasa wote wawili ni waathirika.
Lakini naamini yote ni kwa sababu demu hakumweka wazi jamaa yangu.
Hatujui hata tunamfanya nini huyu demu. Kifupi hasira zipo juu hata sitaki kumuona huyo demu maana sina hakika ya nitakachomfanyia.
Umeona eee,.ni yeye kabisaa hata uandishi wake umejichanganya,.Wewe sema tu umekuwa postive sio mambo ya jamaangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]