Teh kushindwa kumwambia mwenyewe hadi unasema anajijuaHahahah una hakika gani naona aibu..?
Sasa we mwenyewe tu jina unatumia la uongo afu unataka mtu aje pm akumwagie ukweli wake akuuuu acha tudanganyane mwanzo mwishoMkuu mabinti wengi hapa wana sura ka soli.. Huingia mitini dk za mwisho mkipanga kutana. Pole. Na kamwe hawatoi taarifa za kweli PM.
Sasa we mwenyewe tu jina unatumia la uongo afu unataka mtu aje pm akumwagie ukweli wake akuuuu acha tudanganyane mwanzo mwisho
Kuna mwingine ye anatoaga namba za Dr mwaka, ukipiga tu unakaribishwa clinic0meona ee..Kuna binti humu alinipa namba za housegirl wake... Nilichoka. From that day PM sina muda tena.
Kumtaja wazi wazi naona kama sio vyema saaaana.. Thread ameshaiona na kama imemgusua basi naamini kwa weledi wake atatafuta njia ya kujibu pendekezo langu. Kama atapuuza basi sawaa.. Siunajua tena.. Kumsogelea sana ndege ndio unampa harakati za kupeperuka kabisaaaa...Teh kushindwa kumwambia mwenyewe hadi unasema anajijua
Kuna mwingine ye anatoaga namba za Dr mwaka, ukipiga tu unakaribishwa clinic
lol mpaka nacheka peke yangu...... kumbe wadada wa humu ni nourmaaaaaaaHuyo ana afadhali kidogo, Kuna mdada mmoja akiwa kwenye Daladala za Ubungo - posta alimpa jamaa namba ya simu ya afande kova.Jamaa kupiga (baada ya siku 2) tu anapokelewa haroooo afande Kova Hapa nikusaidie nini?