Kampuni Zinazojenga mradi wa SGR Zimepunguza/Kuwapa Likizo Wafanyakazi Wake Kwa Madai ya Kukosa Pesa za Kuwalipa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,619
My Take
Hii ndio hasara ya kuanxisha miradi Kwa pupa na Kwa sifa.

Kwa kuwa SGR itakuwa imefika Dodoma, Naunga mkono hoja, huko kwingine isubirie kwanza Hadi Uchaguzi Upite, hata hivyo Haina Tija ya kibiashara zaidi ya kuwa mradi wa Kisiasa.
=====

Baadhi ya wafanyakazi katika mradi wa SGR kipande cha Isaka-Mwanza, kambi ya Luvumbo wakiwa ofisi kwao kupokea taarifa za kusimamishwa zilizotolewa na uongozi mwishoni mwa wiki hii
Screenshot_20240526_192211_Samsung Internet.jpg

Chanzo: Mwananchi
 
..sgr inapaswa kufika mpakani ni Rwanda, Burundi, Kigoma, na ziwa Victoria.

..au walau ifike bandari kavu ya Isaka kama haitawezekana kuifikisha mpakani na Rwanda.

..kinyume na hapo, reli ikiishia Dodoma, tutakuwa tunaingia hasara kila mwaka. Reli ni kwa ajili ya mizigo, sio abiria.
 
Hii reli ni hasara kubwa sana kama haitavuka boda
 
Back
Top Bottom