Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,136
Jamani
Leo katika mambo mengine kuna mtu aliniuliza niko wapi nikamwambia akawa anabisha katika huo ubishi akaenda kwa jamaa zake wa kampuni za simu kuchunguza akaambiwa ukweli kuhusu eneo nililokwepo huko kwenye kampuni za simu
Sasa bado nina wasi wasi na kampuni hizi za simu kuhusu utendaji wao na mamlaka waliyonayo mpaka kuamua kutoa siri za wateja wao popote walipo bila idhini ya mteja mwenyewe na bila mpango wowote ule
Nimesikitika sana kwa kitendo hichi na nimehuzunika sana kwa suala hili
YAANI PAMOJA NA KUTUMIA MAMBO YOTE HAYA WANATOA SIRI ZETU NA MAMBO YETU MENGINE KWA WATU WENGINE AMBAO HATA HAYAWAHUSU KIVIPI ? KWA MPANGO GANI ??

Text messages zinaweza kuwa diverged bongo, at a price.
Hubby akiwa na kimwa mama mwenye nyumba anaweza kuongea na wakuu wakawa wanamfowardia messages zote anazotuma hubby.
Wakati mwingine kama haujui jinsi technolojia zinavyofanya kazi bora uache tu kuandika, kuliko kuandika utalaam wa vijiweni.
Shy this is a blessing is disguise atleast some ladies will be able to track their hubbies .. tena zip up guys .. your days are numbered .. usisikitike sana infact tupe jina la kampuni ... i will make them my best friends no woman will ever lose track of the husband
Naima, are you thinking of tracking your hubby? why?
Not mine .. just helping out .. ama .. wangu hanipi shida .. he is kaput .. yani kwisha khabari yake
Not mine .. just helping out .. ama .. wangu hanipi shida .. he is kaput .. yani kwisha khabari yake
Pole Shy. Hapo ndipo nami ninapata shida kuhusu employment ethics, confidentiality is of the highest priority katika hali zote. Unajua kwa sababu ya njaa za baadhi ya watumishi wakipewa vijisenti kidogo tu wanatoa siri. Basi Shy kwa Tz mtu akitaka kupata mawasiliano ya mume au mke pale ambapo mmojawapo anahisi kuna ufirauni kati yao basi ni kuwapa pesa tu wafanyakazi wa coy za simu, wata print mawasiliano yako yote na utaumbuka kikweli hasa.
Kwa upande wa kujua sehemu uliko wanatumia tu freguency na wavelength zao na wanajua kabisa unakaaa wapi. Kule kwenye mitambo kuna geography yote ambapo mitambo yao inaweza kuruka(inaonekana katika satellite). Pia hata katika internet is not safe. Hata hapa ninapoandika ni kuwa wakitaka kuni tress watanipata thru satellite. Hata hivyo siogopi kwa kuwa nafahamu I speak out the truth na anayekerwa anitafute tu. No security katika mitandao at all!!!!
Text messages zinaweza kuwa diverged bongo, at a price.
Hubby akiwa na kimwa mama mwenye nyumba anaweza kuongea na wakuu wakawa wanamfowardia messages zote anazotuma hubby.
Yes!!! Kuna mama mwenye chake aliamua kufanya hivyo akapata print out ya sms zote za mumuwe akaleta lundo home. Unaambiwa mume alitambaa akalazimika kusema a to z. Kuanzia sikue ile mume na namba ya simu aliachana nayo na kukata mawasiliano na wale vichuguu hadi leo ndoa shwari. Tena na simu turned out to be a shared commodity among them. Wakati ule jamaa hata akiingia wash room na cm kiunoni, kuoga nayo au anazima anaficha, kuchaji ni ofisini. Mama mwenye chake akamkomesha. Mume alimbembeleza mke kwa kila hali maana ilikuwa sms za aibu, so vizawadi, mara a business partner akabadili memorandum ya biashara kabla hajamuoa ikabidi awe naye ni one of the directors, gari mpya pee ya kutumbelea na nyingine ya biashara!!!! Du mama mwenye chake alisahau yote!!!! Eti inawezekana kusahau au tena ndo kuvumilia????? Kweli ndoa ni ndoana!!! I try to put my self into his/her shoes!!! Mh patamu hapo!!!!
Nimeshapeleka email kwa watu wanaohusika na mawasiliano katika tume yao naamini watanijibu kwa sasa natafuta kuweza kuonana na mwanasheria ili kuweze kumweleza jambo hili muhimu sana naamini katika vyombo vya sheria tutaweza kupata suluhisho la tabia hii chafu
hili jambo limenishitua sana na kunisikitisha sana sijawahi kuwa na siku chungu kama leo hii katika maisha yangu
Shy this is a blessing is disguise atleast some ladies will be able to track their hubbies .. tena zip up guys .. your days are numbered .. usisikitike sana infact tupe jina la kampuni ... i will make them my best friends no woman will ever lose track of the husband
Tueleze mkulu basi teknolojia inavyofanya kazi ,kwani tulishabuy hayo maelezo ya Mkulu Maane on the same.Wakati mwingine kama haujui jinsi technolojia zinavyofanya kazi bora uache tu kuandika, kuliko kuandika utalaam wa vijiweni.
Samahani lugha za watu... NO WOMAN or NO WIFE ?