NEW NOEL
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 863
- 409
Umeshajiuliza je kampuni za simu za mikononi ambazo ni Tigo,Vodacom,Airtel na Zantel zikiamua kutoa statement za matumizi kwa wateja wao tangu mtu aliponunua line ya simu yake na gharama alizotumia kupiga simu na kutuma sms itakuwaje? je utakuwa tayari kupokea?
Je kwa upande wako hili ni jambo jema?
Je kwa upande wako hili ni jambo jema?