KAMPUNI YA WEB BROWSER FIREFOX WAMETOA MPYA BROWSER YA FIREFOX QUANTUM INAYO KWENDA SPEED SANA

Mkuu nina mashine yangu ina RAM 2GB, sasa izi RAM vipi? naweza nikanunua 2GB nikaongezea ikafika 4GB au labda kuna RAM 4GB mpaka nifanye substitution bandika bandua?
inawezekana kuongeza kama ina port moja nunua ya 4GB kama ina port mbili ongeza ram
 
Back
Top Bottom