Kampuni ya WCB kuanzia label mpaka media hawana ubunifu, ni wazee wa ku-copy na ku-paste

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,738
7,688
Media Imecopy karibu vipindi vyote vya watangulizi wao mpaka maudhui ya vipindi. Jamaa wameiga mpaka Ndondo Cup. Hata matamasha wanafanya kwa mtindo uleule wa watangulizi wao hawana ubunifu kabisa, naona kabisa mashabiki wao wameanza kuwachoka.

Label: Kabla ya Harmonize kuimba Singeli jamaa walikua wanaiponda. Konde alivyoimba tu na akapenya huko mtaani, Rayvany akang'ang'ania kolabo kwa Meja Kunta wakati Meja hakua na mpango wa kumshirikisha. Baada ya kuona kangoma ka singeli kamepostiwa na msanii wa Marekani, jamaa masikio yakawasimama sasa wamevamia Singeli na kuimba madudu
 
Media Imecopy karibu Vipindi Vyote vya Watangulizi wao mpaka maudhui ya vipindi, Jamaa Wameiga Mpaka Ndondo Cup, Hata matamasha Wanafanya kwa mtindo uleule wa Watangulizi wao hawana ubunifu kabisa, naona kabisa mashabiki wao Wameanza Kuwachoka

Label: Kabla ya Harmonize Kuimba Singeli jamaa walikua Wanaiponda, Konde alivyoimba tu na akapenya huko mtaani, Rayvany akangangani Kolabo kwa Meja Kunta wakati Meja hakua na Mpango wa kumshirikisha, Baada ya Kuona kangoma ka singeli kamepostiwa na msanii wa Marekani Jamaa masikio yakawasimama sasa Wamevamia Singeli na kuimba madudu
WCB HATERS KAMA KAWAIDA YAKO.
 
Kwenye utafutaji Kuna mambo mawili tu, ukishindwa kubuni basi Iga ,

Hakuna jipya chini ya jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku mnasema diamond ni mzee wa kukopi sasa unashangaa nini kuona hata radio yake inakopi vipindi? kwa taarifa tu huko kukopi ndo kumemfanya awe hapo alipo leo hii, the most successful musician in Tanzania, so kukopi kwake kunampa faida acha aendelee tu cha msingi mpunga unaingia
 
Media Imecopy karibu Vipindi Vyote vya Watangulizi wao mpaka maudhui ya vipindi, Jamaa Wameiga Mpaka Ndondo Cup, Hata matamasha Wanafanya kwa mtindo uleule wa Watangulizi wao hawana ubunifu kabisa, naona kabisa mashabiki wao Wameanza Kuwachoka

Label: Kabla ya Harmonize Kuimba Singeli jamaa walikua Wanaiponda, Konde alivyoimba tu na akapenya huko mtaani, Rayvany akangangani Kolabo kwa Meja Kunta wakati Meja hakua na Mpango wa kumshirikisha, Baada ya Kuona kangoma ka singeli kamepostiwa na msanii wa Marekani Jamaa masikio yakawasimama sasa Wamevamia Singeli na kuimba madudu
Sawa zabibu kiba tumekusikia
 
We jamaa utakuwa una undugu na shetani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom