Kampuni ya Vodacom inavyominya wateja wake kwenye vifurushi vya Internet

Kampuni ya Vodacom inavyominya wateja wake kwenye vifurushi vya Internet

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Wanajamvi,

Kwanini baadhi ya Makampuni ya simu hususani Vodacom wanaminya wateja wao kwa kuwapa vifurushi vidogo vya bandle za Internet?

Siku chache zilizopita ilikuwa ukinunua muda wa maongezi wa Sh. 20,000 walikuwa wanatupa bandle la internet la kutosha lakini kwa sasa bando la muda wa maongezi hata kama umenunua la Sh. 49,999 unapewa Mb 250 (Hembu wenye uelewa tusaidiane katika hili kwamba ni kwanini unapewa MB ndogo kiasi hiki?


attachment.php
attachment.php



Hii ni Unlimited Internet
attachment.php



Bando la Internet bila dakika
 

Attachments

  • Vodacom.JPG
    Vodacom.JPG
    8.7 KB · Views: 973
  • Kifurushi.JPG
    Kifurushi.JPG
    9.2 KB · Views: 905
  • Voda.JPG
    Voda.JPG
    6.1 KB · Views: 902
Kuna mambo mawili hapa:
1. Makampuni ya simu yamejanjaruka kuona makampuni mengine nchi nyinginezo wanavyopiga pesa kwa kutoa huduma finyu ya internet.
2. Sheria zimeweka na Tcra kupunguza vifurushi vya internet makusudi kabisa.

Binafsi siwezi kutoa 50,000 hata kwa 10GB kwa hiko kifurushi. Bora niongee na TTCL waniwekee mkonga wa taifa home kwangu.
 
hizo pesa zinaenda kwenye kampeni angalia share holder ni wakina nani na wafadhili wa kampeni ni wakina nani
 
Kuna mambo mawili hapa:
1. Makampuni ya simu yamejanjaruka kuona makampuni mengine nchi nyinginezo wanavyopiga pesa kwa kutoa huduma finyu ya internet.
2. Sheria zimeweka na Tcra kupunguza vifurushi vya internet makusudi kabisa.

Binafsi siwezi kutoa 50,000 hata kwa 10GB kwa hiko kifurushi. Bora niongee na TTCL waniwekee mkonga wa taifa home kwangu.


Sawa, asante kwa ufafanuzi ngoja tuendelee kudodosa juu ya hili.
 
Back
Top Bottom