Kampuni ya tigo ni wezi sana...

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, nasema si bure mana kimtokacho mtu ujue kipo ndani yake...

Mkuu Inaonekana mahakama zimekuenyesha sana...
Hahahahaaaa.... Kwanini unasema hivyo Mkuu?
 
Hivi hii kitu inaitwa mkongo wa taifa. Walisema ukikamilika utapunguza gharama za simu na mitandao km internet nk, kwa ujumla.
Sasa kuna unafuu gani uliopatikana kwa ma-"end user" tangu kukamilika kwa hiyo kitu?
 
SAFI SANA MTAALAM HEHEHE

OVA
 
Mimi imenitokea leo hilo jambo
....nimetuma pesa ili mzazi wangu aweze kununua dawa na mpaka sasa hivi nonavyoongea pesa haijafika..ukipiga unaambiwa masaa 72
 
Hata Halloteli majizi,kila nikijiunga na kifurushi cha chuo MB 600 baada ya dakika 5 wanasema kimeisha wakati nimebrowse JF tu
Kwa aina hiyo ya avatar yako si rahisi MB 600 kupona!!
 
Tigo naona ndo too much! Kwa mfano ukijiunga na kifurushi cha mwezi cha fb na whatsapp unatumia siku moja au 2 tu unashangaa kimeisha. Haya makamouni yamekaa kiwizi wizi sana
 
Hata Halloteli majizi,kila nikijiunga na kifurushi cha chuo MB 600 baada ya dakika 5 wanasema kimeisha wakati nimebrowse JF tu
Haaaaaa.... Ila fanya utafiti kwa prgm zinazojiupdate zenyewe bila ww kujua...
 
Mimi imenitokea leo hilo jambo
....nimetuma pesa ili mzazi wangu aweze kununua dawa na mpaka sasa hivi nonavyoongea pesa haijafika..ukipiga unaambiwa masaa 72
Hilo ndo jibu mkuu na utasumbuka hadi ukate tamaa.. Pata picha nilifanya muamala tar. 23 mwezi july hadi leo kimya kila nikipiga naambiwa masaa 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…