Kampuni ya tigo ni wezi sana...

Mwenzako amekupa cases mbili hapo,na hiyo ya kulipia azam kwa kutumia tigo pesa haikufika nayo wamesababisha voda?
 
Na huu ndo ukweli na ndicho kilichoniuma kushindwa kukamilika hata ya kwenda azamtv
 
Unaonaje Mkuu ukipata mwanasheria ushughulike hili swala lako afu ulipwe na hela ya usumbufu
 
Hela yako kama haikufika inakuwa kwenye Suspense A/c yao Tigo. Wanachotakiwa ni kui reverse kwako ili ui post upya au wao waipeleke ulikokusudia awali. Vinginevyo kama wanakupelekesha nenda Mahakamani kafungue kesi ya madai.
Na ndo wanachodai kuwa pesa bado ipo wanaiona ila kurudisha hairudi
 
huo mchezo wanao voda tigo wanajitahidi kwa kweli kwenye tigo pesa ila voda duuu ni wezi nje nje wameshanipiga sana
Na hiyo ndo sababu ilinifanya nihamie tigo... Ila ndo hivyo nao walewale kasoro majina tu
 
Kadai fidia mahakaman billion 1, utakua ushatoka maisha mwanangu .kama kina Mwana fa ila usisahau kunipa mil 10 ya mboga
 
Si kweli,labda unabackground apps nyingi zinazofanya kazi na ku utilize data kipindi wewe wabrowse Jf tu.
Niwaombe msamaha Hallotel kwa kuwatukana, kumbe kuna mabackground apps mengi yalikuwa yanarun bila kujua, siku ya 3 hii naweka kifurushi kinapitiwa na sikomi. Yaani nilikuwa nashangaa eti nabrowse JF na FB tu kwenye data interface inaonesha natumia kb zaidi ya 200 per second. Asante kwa muongozo umeniokoa!
 
Hela yako kama haikufika inakuwa kwenye Suspense A/c yao Tigo. Wanachotakiwa ni kui reverse kwako ili ui post upya au wao waipeleke ulikokusudia awali. Vinginevyo kama wanakupelekesha nenda Mahakamani kafungue kesi ya madai.
Kumbuka kuna aggregator katkat.na ndo huwa wanasumbua sana
 
TCRA ni jipu kuliko hiyo mitandao.
Nchi ni yetu, lakini kuna wakati nadhani inaongozwa na watu wasio na vichwa
 
Hela yako kama haikufika inakuwa kwenye Suspense A/c yao Tigo. Wanachotakiwa ni kui reverse kwako ili ui post upya au wao waipeleke ulikokusudia awali. Vinginevyo kama wanakupelekesha nenda Mahakamani kafungue kesi ya madai.
Na watamlipa za kutosha!!! Tatizo hizi fursa zinaenda pasipo na wajenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…