Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 479
Tigo pesa ni zaidi ya jipu. Nilifanya muamala tar 22 mwezi wa saba kwenda mpesa, hela kwangu ilitoka na kwa mlengwa haikwenda nilipopiga huduma kwa wateja walinijibu pesa ipo kuna tatizo la kiufundi wanashughulikia hivyo nisubiri masaa 72. Yakapita nikapiga tena wakasema tena nisubiri masaa 72 ikawa hivyo kila nikipiga naambiwa hivyo hadi mwezi ukaisha wakasema kwakuwa mwezi umeisha niende tigo shop nikaenda ikawa mwendo uleule hadi leo hawajarudisha... Last week nilifanya malipo kwenda azam tv hela nayo haijafika hadi sasa wananipa kiswahili kama mwanzo tu. Hadi sasa ni zaidi 87000 wanayo sijui ndo nimeshaliwa au kuna mwaka watarudisha kama kuna aliyewahi patwa na hii hali hebu tupeane uzoefu
Si kweli,labda unabackground apps nyingi zinazofanya kazi na ku utilize data kipindi wewe wabrowse Jf tu.Hata Halloteli majizi,kila nikijiunga na kifurushi cha chuo MB 600 baada ya dakika 5 wanasema kimeisha wakati nimebrowse JF tu
Labda mkuu huwa unatumia hujaungaHata Halloteli majizi,kila nikijiunga na kifurushi cha chuo MB 600 baada ya dakika 5 wanasema kimeisha wakati nimebrowse JF tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuonaLabda mkuu huwa unatumia hujaunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tigo pesa ni zaidi ya jipu. Nilifanya muamala tar 22 mwezi wa saba kwenda mpesa, hela kwangu ilitoka na kwa mlengwa haikwenda nilipopiga huduma kwa wateja walinijibu pesa ipo kuna tatizo la kiufundi wanashughulikia hivyo nisubiri masaa 72. Yakapita nikapiga tena wakasema tena nisubiri masaa 72 ikawa hivyo kila nikipiga naambiwa hivyo hadi mwezi ukaisha wakasema kwakuwa mwezi umeisha niende tigo shop nikaenda ikawa mwendo uleule hadi leo hawajarudisha... Last week nilifanya malipo kwenda azam tv hela nayo haijafika hadi sasa wananipa kiswahili kama mwanzo tu. Hadi sasa ni zaidi 87000 wanayo sijui ndo nimeshaliwa au kuna mwaka watarudisha kama kuna aliyewahi patwa na hii hali hebu tupeane uzoefu
Hilo neno mkuu inatia hasira sanaMimi nilishaachana na matumizi ya hiyo mitandao kwenye huduma za fedha muda mrefu sana......naitumia nikiwa sina namna.....bora nipoteze nauli kwenda kulipia keshi kuliko kupoteza hela yenyewe yote.....
Ndo hivyo mkuu haya makampuni ni shida sanaDuh! nshapata funzo
Mamlaka husika nadhani wanapaswa kulitazama hiliMakampuni yote ya sim tz ni wezi n'a wadhulumaji
Ova
Mkuu najua voda ni wasumbufu sana ila na hii ya kwenda azam ndo nimechoka kabisa tigo nao jipuww acha kulalamikia tigopesa, huo mchezo unafanywa na voda kudiskarej watu kutumiana pesa toka mitandao mingine. mm nimeshafanya utafiti mfupi kwn mitandao mitatu kila unapotuma au kutumiwa pesa kwenda au kutoka mpesa kunakuwa na fingisu. wale makaburu wa voda ni wajanja sana. nikuulize swali, ulishawah kuona voda wanatoa tangazo kuwa watu watume pesa toka mitandao mingine kwenda au kutoka mpesa? ili transaction ikamilike lazma kuwe na connection nzur kati ya kampuni inayotuma na inayopokea. chunguza mkuu malalamiko mengi ni kwa watu wanaotuma// kutumiwa toka mpesa to other networks
[emoji3] [emoji3]Labda mkuu huwa unatumia hujaunga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenifanya nicheke nikasahau maumivu ya 87000 yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu anakuona