Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,519
- 12,450
HahaNgoja mabingwa wa kubeti waje
Ndipilile mfwetu, uzivanjane namthanje?WOza woza utiniwena.
Biashara gani itakupa faida kiasi hiki?..unaweka 170 unapata elfu 24 ndani ya dakika 90!!Ngoja mabingwa wa kubeti waje
Inalipa,Tsh 170 ungefanyia kitu gani?Na watu huwa hawaachi kubeti hadi wafilisike,
Hiyo sio ya bongo mkuu ni wasouth. Bongo watu wanabeti jero 😇Mawakala wa kanji naona wana promot mzigo mpya
Uvivu tu wa kulima.Inalipa,Tsh 170 ungefanyia kitu gani?
Ndo kaliwa mhindi wako kwa 170, kilimo kina keshauti?Uvivu tu wa kulima.
Wewe uko wapi? Unalima nini ?Uvivu tu wa kulima.
Ndiqhuba kakuhle mhlekazi, wamkelekile.Ndipilile mfwetu, uzivanjane namthanje?
Man op jou beste my broer.Ndiqhuba kakuhle mhlekazi, wamkelekile.
Iringa, viaziWewe uko wapi? Unalima nini ?
😃Ndo kaliwa mhindi wako kwa 170, kilimo kina keshauti?
Hahaha vinalipa? Na je unafikiri watu wote nchini wanapaswa kuwa wakulima?Iringa, viazi