MEXICANA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 1,776
- 2,038
Hili kampuni linawatesa mawakala na wadhamini wao ambao wamekula short katika ukusanyaji wa pamba mwaka jana. Mawakala hao wamefungwa kwenye lock up ya kiwanda ambayo imejiwekea yenyewe kinyume na sheria na taratibu za nchi, huku wakiwalazimisha walipe papo hapo madeni wanayowadai kwa kuwatesa na kuwanyima chakula watu hao.
Hata Hivo mawakala hao wamekosoa utaratibu unaofanywa na kampuni hili wa kuwabambikizia madeni makubwa ambayo si haki yao kuyalipa. Vyombo Vya dola sjui kama vinaljua hili.
Pia Mawakala hao wamelalamikia weghing bridge ya kiwandani hapo kuwa ilikuwa inakata kilo 200 kwa kla tripu moja ya usafirishaji.
Cha ajabu kampuni hili halipeleki watuhumiwa polisi wala mahakamani.