N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,349
- 10,765
Mfuko wa PPF na NSSF wameanzisha
kampuni tanzu iitwayo Mkulazi (Mkulazi Holding
Company Limited) Na jinsi nilivyoona hapa kwenye Habari ni kwamba hii kampuni iko active na soon wataanza kuzalisha sukari (SOMA TAARIFA YA MRADI HAPO CHINI )
Nielewavyo huu ni mradi utakaozalisha faida kama ilivyo majumba wanayojenga -Je,wafanyakazi wanaokatwa kuchangia mifuko hii wanazo hisa anyhow kwenye hii kampuni? na kama siyo inakaaje wadau!si itakuwa wafanyakazi wanadhurumiwa? -Hakuna namna kila mfanyakazi awe mmiliki pia wa kampuni hiyo? Kama kuna mwenye technical explanations anaweza kutujuza.