Kampuni ya Mikono International Speakers kuandaa mkutano mkubwa wa mauzo

Mikono Speakers

New Member
Mar 31, 2017
4
1

Kampuni ya Mikono International Speakers inatarajia kuandaa mkutano wa kimataifa wa mauzo (International Sales Conference) jijini Dar es Salaam tarehe 27 na 28 Aprili, 2017. Mada mbalimbali zitatolewa na watoa mada wa ndani na nje ya nchi wakizungumzia sekta ya mauzo.

 
Back
Top Bottom