chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,949
Ikiwa zimepita siku 50 toka itokee ajali ya basi la Princes Muro lenye namba za usajili T 551 BQP March 25 Kimara Baruti ambapo basi lilivamia kituo kipya cha mabasi yaendayo haraka, May 11 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alielezea gharama zinazotakiwa kulipwa kwenye Kituo hicho.
Paul Makonda alizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa tayari wameshatuma bili/ gharama kwenye makampuni ambayo wanamiliki magari ya Princes Muro, ambalo limesababisha uharibifu kwenye kituo hicho……..
Chanzo : Millard Ayo Blog