Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,932
- 6,982
- Thread starter
-
- #21
Kweli mkuu , watupe vitu ambavyo tutatumia tukifurahia matumizi yakeuko sahihi,
in fact hata ile ya KIWI ya maji, kile kisponchi kinachomoka haraka na mapema mno wakati rangi bado ni nyingi kwenye chupa,
na kulazimika kutumia labda kitambaa kung'arisha kiatu, kitu ambacho matokeo yake ni kujifua mikono na kila mahali matone ya rangi yanapodondokea ,
nadhani ni muhimu kubadilika na kuongeza ubora na uimara wa vifungashio hivyo
Yaan hako kakitu kakikatika 🤣 asee kuna na ile situation ya kujigawa vipande vipandeNi kweli. Kiwi changamoto yake kubwa ni kwenye hiyo kitu ya kufungulia, mara nyingi siyo imara. Inakàtika au chomoka na kuleta usumbufu wakati wa kufungua mkebe. Wanatakiwa waboreshe hapo.
Walahi hata walivyobadilisha rangi ya vidonge vya Fragile kutoka blue kuwa njano niliacha kununua 🤣Hiyo Ndio Brand Identify yao ... Nyie wazee mnaotumia rangi za viatu mkibadilishiwa package hamnunui tena mnasema mpya zimechakachuliwa.
Mbona zipo kopo za kufungua mfuniko? Hiyo uliyonunua ni ya bei rahisi. Nenda supermarket utazikuta za kisasa. Na hazigandi.Tuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂
Simu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya ajabu… lakini huo mkebe wenu kufungua ni kama unafanya mtihani wa practical
Kwanini Kiwi msijaribu mbinu mpya wateja wenu wakubwa ni wanafunzi au ni kwamba hii mikebe mlitengeneza hadi 2030.
Yaan hako Kakitu kakivunjika ndo kipengele kinaanza 🤣 ni either ugonge huo mkebe chini unaanza na kiwi iliyomwagika baada ya hapo utakua unatumia vipande vipande
Labda the manufacturer wanted to maintain originality, security, patience and 'carefulness in one product ila sasa hapana
Niko nabrushia watoto hapa waende kanisani
muwe na Dominika njema 🤣 Utani wa Jumapili
View attachment 3622821
Vipo mkuu hii ndo dawa kwa viatu vya watoto angalau inatupeleka mbeleDa... umenikumbusha mbali sana. Umenikumbusha tatizo lililokuwa linatokea mara kwa mara. Bado vinavunjika kumbe? Nadhani una point ya msingi....
Wao wamebadilika fikiria kutoka Tairi za kujaza upepo mpaka Tubeless sio kitu kidogo mkuu 🤣 ila kiwi hapanaHapo ni sawa sawa useme kampuni ya Michelin ijitafakari tumechoka matairi ya rubber sasa tunataka matairi ya chuma sababu zama zimebadirika barabara ni za zege na chuma inatembea juu ya zege
Na maanisha hizi za maji kama alivyosema mchangiaji ambazo hutumia sponge kama brushSasa kitazungukaje mkuu , maana issue hapo ni rotation🤣
Sisi tunaipenda hiyo ya kopo 🤣 watufanyie wepesi mkuuWamebadilika kuendana na nyakatiView attachment 3622876
Oooh sawa mkuu , bila shaka watatukumbuka na sisi wa makopoNa maanisha hizi za maji kama alivyosema mchangiaji ambazo hutumia sponge kama brush
Oooh sawa mkuu, huku kwetu naona ni mtihani kupata vitu vizuriMbona zipo kopo za kufungua mfuniko? Hiyo uliyonunua ni ya bei rahisi. Nenda supermarket utazikuta za kisasa. Na hazigandi.
Oooh sawa mkuu, huku kwetu naona ni mtihani kupata vitu vizuri
Hahahaha😀Sisi tunaipenda hiyo ya kopo 🤣 watufanyie wepesi mkuu