Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,916
- 6,919
Ni majuzi tu kamevunjika, ilibidi nianze kuchokonoa na bisibisi kukifungua.😆Tuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂
Simu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya ajabu… lakini huo mkebe wenu kufungua ni kama unafanya mtihani wa practical
Kwanini Kiwi msijaribu mbinu mpya wateja wenu wakubwa ni wanafunzi au ni kwamba hii mikebe mlitengeneza hadi 2030.
Yaan hako Kakitu kakivunjika ndo kipengele kinaanza 🤣 ni either ugonge huo mkebe chini unaanza na kiwi iliyomwagika baada ya hapo utakua unatumia vipande vipande
Labda the manufacturer wanted to maintain originality, security, patience and 'carefulness in one product ila sasa hapana
Niko nabrushia watoto hapa waende kanisani
muwe na Dominika njema 🤣 Utani wa Jumapili
View attachment 3622821
Da... umenikumbusha mbali sana. Umenikumbusha tatizo lililokuwa linatokea mara kwa mara. Bado vinavunjika kumbe? Nadhani una point ya msingi....I once opened it with my teeth. I ended up with a black tooth and we all laughed. Take it positively n enjoy life 🤣🤣
uko sahihi,Tuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂
Simu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya ajabu… lakini huo mkebe wenu kufungua ni kama unafanya mtihani wa practical
Kwanini Kiwi msijaribu mbinu mpya wateja wenu wakubwa ni wanafunzi au ni kwamba hii mikebe mlitengeneza hadi 2030.
Yaan hako Kakitu kakivunjika ndo kipengele kinaanza 🤣 ni either ugonge huo mkebe chini unaanza na kiwi iliyomwagika baada ya hapo utakua unatumia vipande vipande
Labda the manufacturer wanted to maintain originality, security, patience and 'carefulness in one product ila sasa hapana
Niko nabrushia watoto hapa waende kanisani
muwe na Dominika njema 🤣 Utani wa Jumapili
View attachment 3622821
The living brand.. Ni kama kalamu ya bic tuuTuko mwaka 2026 jamani, lakini Kiwi shoe polish bado manatuuzia makopo yanayofunguliwa kama vile ni mtihani wa mwisho! 😂
Simu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya ajabu… lakini huo mkebe wenu kufungua ni kama unafanya mtihani wa practical
Kwanini Kiwi msijaribu mbinu mpya wateja wenu wakubwa ni wanafunzi au ni kwamba hii mikebe mlitengeneza hadi 2030.
Yaan hako Kakitu kakivunjika ndo kipengele kinaanza 🤣 ni either ugonge huo mkebe chini unaanza na kiwi iliyomwagika baada ya hapo utakua unatumia vipande vipande
Labda the manufacturer wanted to maintain originality, security, patience and 'carefulness in one product ila sasa hapana
Niko nabrushia watoto hapa waende kanisani
muwe na Dominika njema 🤣 Utani wa Jumapili
View attachment 3622821
🤣 Nikajua kipengele kiko huku kwangu tu mkuu , Pole kwa changamotoNi majuzi tu kamevunjika, ilibidi nianze kuchokonoa na bisibisi kukifungua.😆
Kweli mkuu naelewa 🤣 nawaza huwa kwanini wanaendelea kutengeneza hili kopo piaMbona kiwi wamebadilika ni wewe tu uchaguzi wako unataka ya maji ya kwenye kopo au hicho cha bati
Heri hata hao 🤣The living brand.. Ni kama kalamu ya bic tuu
Kama sabuni ya Imperial kile kikaratasi kinabanduka chenye hata kabla ya kuogea na wao wabadilike 🤣Nadhani tayari wanaifanya kama identity kwao 😂…ila wamesustain sana
Sasa kitazungukaje mkuu , maana issue hapo ni rotation🤣Kibandike na super glue utatumia hadi uchoke mi hufanya hivyo
Asante sana Kiwi kwa kujali na kusikiliza ! Muishi milele Super brandSafi sana kwa kuwaandaa watoto waende kanisani
Unaonekana very responsible kiwi tumekusikia kuanzia mwakani tunakuja na mikebe ya kufungua kama mafuta ya kupaka ya baby care
Wamebadilika kuendana na nyakatiNadhani tayari wanaifanya kama identity kwao 😂…ila wamesustain sana
Hapo ni sawa sawa useme kampuni ya Michelin ijitafakari tumechoka matairi ya rubber sasa tunataka matairi ya chuma sababu zama zimebadirika barabara ni za zege na chuma inatembea juu ya zegeSimu zimekuwa smart, magari yanajiendesha yenyewe, AI inafanya vitu vya ajabu…