Kampuni ya kichina ya kuchimba kisima kigamboni

Kampuni ya kichina ya kuchimba kisima kigamboni

nalo neno

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
89
Reaction score
41
Natafuta kampuni ya kichina ya kuchimba kisima maeneo ya kigamboni kwa kuwa nimesikia wao bei zao ni nafuu kuliko wachimbaji wengine. Hivyo naomba kwa mwenye mawasiliano nao anipatie hapa. Asante
 
Back
Top Bottom