Kampuni ya Jolla imezindua simu inayotumia mfumo wa Linux

Kampuni ya Jolla imezindua simu inayotumia mfumo wa Linux

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20251206_122208_0000.png

Kampuni ya Jolla imetambulisha simu mpya yenye kutumia Mfumo wa linux inayofadhiliwa na jamii oda ya awali ni Euro €499 mpaka kufikia Euro €599.

2_20251206_122208_0001.png
3_20251206_122208_0002.png

Jolla ni kampuni ya Teknolojia inajulikana zaidi kwa kutengeneza Mifumo endeshi wa Sailfish Os, ambao kwa sasa wamehamua kuweza kutengeneza kwa ajili ya simu unaozingatia usalama wa kifaa chako.

Jolla imeunda simu kwa ajili ya kizazi kijacho cha "Linux Smartphone Generation" simu hiyo mpya ambayo imefadhiliwa na jamii inajulikana kama "the independent European Do It Together (DIT) Linux phone"

4_20251206_122208_0003.png

yani Simu Huru ya Linux toka Ulaya inayokusanya watu pamoja (DIT).

5_20251206_122208_0004.png

Kampuni hiyo imesema ikitokea wana jamii wengi watajitokeza kwa wingi kununua ambapo walizitoa 2000 tayari zimeshamunuliwa 1054.

6_20251206_122208_0005.png

kufikia januari 4, mwaka 2026 basi wataweza kutengeneza nyingi zaidi na kuzisambaza ulimwenguni kote.

Usisahau kutembelea page ya Bongotech255 si unajua Teknolojia ni Yetu sote ✍️.
 
Attachments

  • 6_20251206_122208_0005.png
    6_20251206_122208_0005.png
    799.6 KB · Views: 10
😄 bila kutafakari kwani android si linux
Android inatumia Mfumo wa Linux ndiyo lakini katika low level task kama vile hardware drive, storage management nk

- ni kama msingi wake wa Mwanzoni tu Iko Sehemu ndogo sana ya Mfumo uendeshaji wa Linux kwenye vifaa vya android sio completely yenyewe inafanya kazi ya security, storage management, device drivers nk.

Hivyo inapelekea android kuwa Sehemu moja wapo inayotumia Mfumo wa Linux lakini haitumi Mfumo kamili kama wa GNU/ Linux kama ilivyo Ubuntu au ile Debian boss.

Mfano android anatumia kwenye library anatumia Mfumo wa C Tofauti na GNU C ambayo anatumia Jallo kwenye vifaa vyake vya simu 🙂 kwaiyo Jallo Linux phone Iko completely inatumia Mfumo wa LINUX.
 
Nimeshamjibu 🙂 android anatumia Mfumo wa Linux kwenye low level task wakati Jallo Linux phone ni full completely task kama ilivyo UBuntu au Debian.
Swali zuri sana hususan kwa waleta mada content kibao bila kujibu issue za maana; more clicky baity than info manual
 
Huo mfumo wa Linux una kipi cha kukimbiliwa?
Mara nyingi vifaa vya Android vinatumia Mfumo wa Linux kwq sababu kadhaa
Open Source, security, hardware support and stability, resources management inayopelekea kutoa msingi wa kuaminika wa kuweza kutumika.

Kutokana na Bei yake nafuu, unaweza kubadilika kulingana na wakati nk ulipelekea Google kujenga Mfumo uendeshaji wa kisasa kwq urahisi zaidi hata kampuni nyingine kama vile Qualcomm, snapdragon, MediaTek kuweza kuingiliana nao.

Sijui nimekuelewesha kidogo 😃 ila Google utapata taarifa zaidi kuhusu Linux au pitia kitabu kinaitwa professional android, HeadFirst android Development , how Linux work on Android utajifunza mengi mkuu.
 
Windows Phone walikuja wakaenda

Kilichopelekea windows Phone Kupotea sokoni ni lack of developer support & apps mipango ya Microsoft ilishindwa kuendana na soko la Dunia kutokana kupuuza Mfumo wa biashara ya android na kuendelea kupambana Na Nokia.

Watumiaji walikua wachache kutokana na Mfumo wake ulikua unazuilika kutumika na watu wengi kuweza kuingiliana na vifaa vingine haswq upande wa Hardware and software issue.

Tafuta makala moja kupitia Tovuti ya The Verge walielezea kwa Upana zaidi inaitwa windows Phone was glorious Failure ilikua mwaka 2017 au 2018 kama sikosei utajifunza mengi🙂.
 
Mara nyingi vifaa vya Android vinatumia Mfumo wa Linux kwq sababu kadhaa
Open Source, security, hardware support and stability, resources management inayopelekea kutoa msingi wa kuaminika wa kuweza kutumika.

Kutokana na Bei yake nafuu, unaweza kubadilika kulingana na wakati nk ulipelekea Google kujenga Mfumo uendeshaji wa kisasa kwq urahisi zaidi hata kampuni nyingine kama vile Qualcomm, snapdragon, MediaTek kuweza kuingiliana nao.

Sijui nimekuelewesha kidogo 😃 ila Google utapata taarifa zaidi kuhusu Linux au pitia kitabu kinaitwa professional android, HeadFirst android Development , how Linux work on Android utajifunza mengi mkuu.
Asante hapo umenipa mwang kidogo nitafuatilia zaidi kusoma nielewe
 
Huo mfumo wa Linux una kipi cha kukimbiliwa?
Kwanza huu mfumo sio mpya ulianza na Maemo na Nokia toka 2004 huko, baadae ukaungana na Mobile linux ukaitwa meego baadae Meego ikafa ndio ukaendelezwa kama Sailfish, Samsung akautumia kwenye TV zake kama Tizen etc.

Ni open source software ambayo hata wewe ukiwa una UI yako unaweza ukautumia kutengeneza OS yako.

Selling factor kubwa ya sailfish ni multitasking, unlike Android na Ios hii ina True multitasking kama unavyoona pc na Windows

View: https://m.youtube.com/watch?v=Ya-UyvSMsUE&pp=0gcJCR4Bo7VqN5tD

Angalia hio video mtu aki multitask mpaka video haistop kuplay uki minimise.

Pia sababu ni linux na open source ina privacy kubwa.

Madeveloper na wataalam wengine huzitumia kama portable devices ku access Linux on the go.
 
Asante kwa maelezo yaliyojaa, ngoja nipitie hio video nione
 
Back
Top Bottom