Edward A Chapa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 976 Reaction score 1,405 Dec 17, 2015 #1 Samahani sana ndugu zangu nataka kufungua kampuni ya Fumigation now nipo katika masuala ya usajili, nataka kujua ni mikoa ipi nitapata zaidi soko na changamoto zake.
Samahani sana ndugu zangu nataka kufungua kampuni ya Fumigation now nipo katika masuala ya usajili, nataka kujua ni mikoa ipi nitapata zaidi soko na changamoto zake.
Huntsman JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 648 Reaction score 621 Dec 17, 2015 #2 You did not do your homework... dont be suprised when failure knocks on ur door
shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,441 Reaction score 3,613 Dec 17, 2015 #3 Nini kilikufanyia ufikirie kufungua hiyo kampuni pengine utajua pa kuanzia.