Kampuni ya Etihad yatangaza hasara ya Dola Bilioni 2

Kampuni ya Etihad yatangaza hasara ya Dola Bilioni 2

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
LONDON, ENGLAND: Kwa mujibu wa vyombo vya habari kampuni za utengenezaji wa ndege za Airbus na Boeing zinajiandaa na kupungua kwa oda ya kutengeneza ndege mpya kutoka kwa kampuni ya Etihad Airways

Kampuni ya Etihad imetangaza hasara ya Dola za Kimarekani bilioni 2 iliyotokana na kuyumba kwa biashara ya makampuni ya Air Berlin na Alitalia ambayo kwa pamoja yaliwekeza ndani ya Etihad

Kutokana na hasara hiyo kampuni ya Etihad inajiandaa kufanya mpango wa kupitia upya biashara nzima na uwekezaji wake


=======

LONDON —
According to reports from Reuters, both Airbus and Boeing are in the process of preparing themselves for a significant level of order disruption from Middle Eastern giant, Etihad Airways.

The Abu Dhabi-based carrier has just posted a $2 billion loss following the insolvencies of both Air Berlin and Alitalia—two airlines that were part of significant investments made by the Emirati group.

As a result of this hefty loss, Etihad is pressing ahead with a company-wide review.

WHAT’S IN STORE?
Etihad currently holds a strong backlog of 160 Airbus and Boeing planes. The carrier might be looking at options of either swapping models, delaying deliveries or potentially making outright cancellations.With Etihad declining to comment, international media has turned to Boeing and Airbus for insight. Boeing said that it was citing policy to “not comment on delivery schedules nor any discussions with customers.” Airbus has not released a comment as of yet.

Etihad has 88 Airbus and 78 Boeing jets on order, valued at over $10-15 billion at list prices.

These orders came from secure deals made around five years ago at prospective airshows such as Paris and Farnborough.

This potential order disruption might hinder Boeing’s and Airbus’s Dreamliner and A350 production lines. Out of the 88 Airbus planes Etihad has ordered, 62 of them are A350s. On the Boeing side, out of the 78 aircraft ordered, 52 are 787 Dreamliners.

These orders were placed at a time when the likes of Emirates and Qatar Airways were aggressively expanding in the market and adding new destinations at a significantly fast rate.

As Etihad tried to keep up the pace and remain competitive in the Middle East, things might have gotten out of hand.

Etihad not only purchased a myriad of planes, they also got their hands on several airlines that held a not-so-promising future—an approach ultimately failed when Alitalia and Air Berlin both went into administration.

The outlook for Etihad is not as clear as its management would like. However, the likelihood of seeing this airline go out of business is very low, as it’s backed up by a wealthy government which holds its reputation as a primary asset
 
Bahati mbaya sana Makampuni haya japo yanaonekana kufanya vizuri lakini yamejikuta yakiingia hasara sana kutokana na mfumo wao wa uendeshaji wake kwani biashara ya anga ni biashara ambayo inaonyesha kuendelea kufanya vizuri Duniani kwa mujibu wa International Air Transport Association (IATA) Usafiri wa anga ndio usafiri unaopendwa na kuaminiwa sana duniani na itachukua miaka mingi sana kutokea usafiri ambao unaweza kupindua fikra za watu juu ya usafiri wa anga rabda miaka 150 ijayo ndio kuna uwezekano wa kuwepo usafiri utakao tishia ushafiri wa anga na usafiri huo ni Hyperloop ambao utakuwa na speed sana zaidi ya ndege lakini itachukua miaka mingi sana mpaka kuconnect dunia kama ilivyo kwa ndege. Kuna mashirika zaidi ya 2000 duniani yanayo operate zaidi ya ndege 23,000 kwenye viwanja vya ndege zaidi ya 3,700 Duniani mpaka kufikia mwaka 2006 kulikuwa na zaidi ya safari milion 72 zilizobeba zaidi ya abiria bilion 2.3

Ukuaji wa biashara hii imekuwa ikikua kwa kiwango cha 5% kila mwaka kwa kipindi cha miaka 30 mfululizo na inasadikika pato la safari za anga linaweza kukua mpaka mara mbili kwa kipindi cha mika 10-15 ijayo kwa Marekani pekee mashirika 100 ya ndege yanafanya zaidi ya safari milion 11 kwa mwaka na kubeba zaidi ya abiria 745 milion na zaidi ya watu 545,000 wamepata ajira kwenye ndege 8000 zinazofanya safari 31,000 kwa siku , kumbuka Marekani ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutumia sana usafiri wa ndege ikifatiwa na China na UK pato la Biashara hii ya anga kwa mwaka ni zaidi ya$ 1.2 Tillion

Biashara hii kwa sasa imetawaliwa na makampuni makubwa matatu ambayo ni Qatar Airways,Emirates Airlines na Etihad Airways mashirika haya ukiangalia yameanza miaka ya 1985,1993 na 2003 lakini yamekuwa ni tishio kwa mashirika ya ndege Duniani na wao kutawala Anga la Dunia ktk Usafiri wa Anga

Mashirika haya unaweza sema hayajiendeshi kibiashara kwani kila mwaka serikali inapump mabilion ya dola kwenye mashirika haya kununua ndege za kisasa zaidi ya dola billion 50 zimetumika na mashirika haya kujijenga kutoka serikali zao si kwa mtaji wa mshirika au faida wa kampuni kitendo ambacho kinaondoa ushindani ktk usafiri wa anga kwa mashirika mengine yanayojiendesha yenyewe kwa pato la shirika pia mashirika haya pamoja na kuwa na madege ya kisasa bado yanauza ticket kwa bei ndogo si ya kisoko kitendo ambacho hakuna shirika lolote Duniani so kwa wao kupata hasara kubwa namna hii ni sawa coz hayajiendeshi kibiashara kama mashirika mengine ya Anga

Mpaka sasa order za ndege mpya kwa makampuni haya matatu yani order za kutengenezewa ndege mpya kutoka Boeing na Airbus ni 539 yani Emirates 222, Qatar 169 na Etihad ni 148 huku order za ndege mpya za makampuni yote ya US ni 159 na order zote za ndege mpya za makampuni ya China ni 76 ukiangalia fedha zote nying zinatoka ktk serikali si mtaji au faida ya kampuni husika

Mfano Emirates Airlines mjomba wake wa mtawala wa Dubai Shiekh Ahmed bin Saeed Al Maktoum ndio ECO wa Emirates ndio mkuu wa Civil Aviation Authority ya Dubai taasisi inayomiliki viwanja vya ndege Dubai ambapo ndipo makazi ya ndege zote za Emirates Airlines pia ndie mkurugenzi wa Shirika la mafuta ya Dubai shirika lenye wajibu wa kuweka mafuta kwenye ndege za Emirates pia ndio CEO wa ma Bank ya serikali ya Dubai Bank ambazo ndizo zinaikopesha pesa Emirates Airlines kununua midege so unaweza kuona kote maamuzi ni ya mtu mmoja sasa hapo unadhani kitatokea nini
 
Leteni na zilizopata faida maana mkitufeeed na taarifa za aina hii tutazidi kuzichukua bomba dear zetu.
 
Wenzetu baada ya kupata hasara wanapitia upya mpango wa uwekezeji!

Hapa bla bla....Mara hooo shirika lilikuwa limekufa Mara hooooo faida haiwezi kupatikana mapema!
 
Safi sana rudisheni mpira kwa keeper na muanze tena
Nalog off
 
Biashara ya ndege ni ngumu hasa kwa zama hizi, hao waarabu hawajui wafanyalo na siku mafuta yakipungua au mbadala wake ikipatikana, watakufa wote.!
 
Back
Top Bottom