Kampuni ya DAIMA InfoTech solutioon ipo wapi?

Kampuni ya DAIMA InfoTech solutioon ipo wapi?

Mjomba kazola

Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
33
Reaction score
14
habari zenu wadau
Naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu ilipo kampuni ya Daima InfoTech solution
Naomba anielekeze ili niweze kufika nina shida nahitaji kuulizia pale. Nasikia ipo barabara ya bagamoyo road ila sijajua ni sehemu gani?
Asanteni.
 
Mkuu hawana website hao??? Kama ipo cheki watakua wameonesha walipo
 
Back
Top Bottom