murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Natafuta kampuni ya clearing ya kununua. Bajeti ni 15m
hahahahaMbona bajeti ya kampuni za kuuza nyanya hiyo, sio kwa clearing mzee
Upo serious au hujui kampuni za Clearing ni nini.... Hiyo bei hata barua ya TRA hupati... Ongeza 20 hapo iwe 35m... Angalau kidooooooooooogoNatafuta kampuni ya clearing ya kununua. Bajeti ni 15m
Mwenyew nimeshangaa, halafu yote 9 10 anataka ya kununua 🤣🤣Upo serious au hujui kampuni za Clearing ni nini.... Hiyo bei hata barua ya TRA hupati... Ongeza 20 hapo iwe 35m... Angalau kidooooooooooogo