Kampuni ya Clearing inauzwa!

Kampuni ya Clearing inauzwa!

On the contrary, the owners wana projects zingine na imekuwa vigumu to manage as you know managing a clearing company ni time consuming....nothing to do with Mwakyembe and actually tuna m support sana...

I am not sure whether this is a proper way of restructuring the company. Even if owners are busy with other activities, still they can trust managers who will report the performance to the board of directors. The value of a company is not registration documents, rather it is client's portfolio, experienced personnel etc. Now if you were owner/manager and now you want to quit, who will run the company? bitete
 
Last edited by a moderator:

Ndachuwa, bitete I guess he's stumped altogether and decided "to vanish into trees" lol
 
I am not sure whether this is a proper way of restructuring the company. Even if owners are busy with other activities, still they can trust managers who will report the performance to the board of directors. The value of a company is not registration documents, rather it is client's portfolio, experienced personnel etc. Now if you were owner/manager and now you want to quit, who will run the company? bitete

Ma manager wa kibongo hamna kitu! Kama hauna mda wa kumanage utakuta manyoya tu! Wanachuma mitaji wanafungua zao.

Bora uiuze tu walau uambulie hizo proceeds from sale! Coz kama hamna mda wa kumanage itakuja kufa tu either way.

Kwa wanaoelewa kampuni za clearing and fowarding watanisoma upo mwenyewe hapo na unapigwa vilevile ndo umuamini mtu ! Aaaaaaaaaah wapi!
 
Mh,maajabu hayaishi dunia hii. Profitable company na inauzwa?

Elimu ni bahari kaongeze kidogo for ur info unprofitable company ndo haiuziki ama inauzika kwa shida sanaaa! Nani ainvest kwenye losses???

Kuna sababu kibao za kuuza kampuni apart frm profit angle zikiwemo

Restructuring mfano BP Tanzania imeuzwa kwa PUMA oil na profits zake zilikuwa uzuri tu.

Divesification anaweza kuwa anauza ili ahamie kuinvest sekta ingine aachane na mambo za bandari.

Death of owner, waliorithi hawataki kuendelea na hio biahsara wanatka wagawane kila mtu chake.

Capital accumulation. Anaweza kuwa anauza biashara zake zote ndogondogo ili afungue kubwaaaa zaidi kwa kuunganisha mitaji yake mdogo midogo

Siku ingine ukisikia profitable company inauzwa usistuke sanaaaa!
 
you are really a merchant
 
Santaaaaaaaaaa
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi. Nimekugongea like
 
Hana lolote huyo kakimbizwa na wale waarabu wafupi waendeshao pikipiki!,sasa hivi bandari imekuwa yao wtu wanawapenda kwa kuwa hawana hadithi,wako reliable na truthworthy.
 
Babu mbona unaongea pumba! Umelazimishwa kutoa comment? Hio comment yako inapoint gani au una prove nini? Haina kichwa wala miguu!
 
Kama ni profitable kwanini mnaiuza??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kijana unatumia nini kujibu au kusoma threads,isije ikawa napoteza muda wangu na kajitu kanachotumia nokia asha,while am on mac air!,hebu refer comments zangu na zakwako , then hurudi na usemi wako wa akili,kwanza hilo jina la huwel umelitoa wapi?au nyie ndio wale wa Iringa mnao wa admire wakina ASAS,FM ABRI,na wakina PIRMOHAMED?,si bora ungejiita ANA MAAKINDA ,ningekuona wa maana!!
 
Unaboa sana sijui hangova za weekend hio - mac unaijua au unaiskia? Porojo tu! Kojoa ulale
 
Hana lolote huyo kakimbizwa na wale waarabu wafupi waendeshao pikipiki!,sasa hivi bandari imekuwa yao wtu wanawapenda kwa kuwa hawana hadithi,wako reliable na truthworthy.

unamaamisha silent ocean au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom