Kampuni ya ASAS maziwa wanatoaje ajira?

Kampuni ya ASAS maziwa wanatoaje ajira?

pdozen_nation

Member
Joined
Nov 12, 2015
Posts
52
Reaction score
122
wakuu naomba kuuliza nawezaje pata kazi kwenye kiwanda cha asas maziwa ata kusambaza tu kwenye gari kulelekea wateja kama una connection nijuze
 
All the best.

Nadhani ungetafuta mawasiliano yao uwaulize.
 
wakuu naomba kuuliza nawezaje pata kazi kwenye kiwanda cha asas maziwa ata kusambaza tu kwenye gari kulelekea wateja kama una connection nijuze
Kuna ajira kibao hasa kule Iringa ila Kijiji sikumbuki,
Sifa;
Shamba hekari unazoweza kuhudumia,mbegu(mahindi),pembejeo,
Majukumu:
Lima mahindi yakifikia miezi miwili na nusu ASAS atakuja kununua kwako.
Mshahara:
Ukubwa wa shamba lako.
 
Nadhani ungefika kiwandani au uko Iringa ndio utapata majibu mazuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom