Kampuni ya Aifola yazidisha uchafu Ilala

Bontowar

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
520
Reaction score
53
Hii kampuni ya AIFOLA PRIME TRADERS Ltd imeanza kazi ya kukusanya takataka za majumbaji mwaka huu mwezi wa pili na kwa sasa wiki ya pili haijachikua taka mpaka zinatoka funza.

Hivi wahusika wa serikali mpo wapi au mpaka mtumbuliwe? Afisa afya haonekani hapiti kukagua au mikataba ina harufu ya rushwa?

President Magufuli hawa ndio wanachelewesha kasi yako washughulikiwe

 
kuna uzembe wa kiutendaji nadhani...inabidi washtuke aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…