Kampuni ya AGL Yaingia Mkataba wa Kuendesha Bandari ya Malindi Zanzibar Kwa Miaka 5. Serikali na DP World Mnatufundisha Nini?

Zanzibar imefanikisha Ubinafsishaji wa Bandari ya Makundi kwa Wafaransa

Mgao wa Mapato Zanzibar itapewa 30% na Wafaransa watapata 70%

Source. Mwananchi
Sielewi point yako ni ipi hapa. Andika kitu cha kuelimisha vizuri. Wewe unaona 70/30 ni Sawa. Bara imepigwaje bao hapo? Usiandike kitu kwa mhemko wa unazi ,nchi yetu ni ya thamani mno tafadhali usitake ifanyiwe maamuzi ya kipumbavu bila kuangalia athari zake. Plz Zanzibar ibaki Zanzibar na mamlaka Yao, na bara Tanganyika ibaki na maamuzi yake juu ya raslimali zake.
 
Source: Mwananchi GAZETI 😄🐼
 
Back
Top Bottom