Kampuni ya Africarriers iliyoingia Mkataba wa Mabasi na Simba Sports Club ni mali ya nani?

Siasa za Simba na Yanga zipo complicated sana sawa na CCM ilivyoshikiliwa na dola.

Wataishia kuwa wadhamini ila wenye timu wakiamua wanakutimua mchana kweupe.

Simba na Yanga ni sehemu ya serikali, huwezi imiliki kama yako.
Nadhani ukienda kwenye vyombo vya serikali haitakua tofauti na hii Kwa upande wa Simba
Screenshot_2021-10-08-17-21-46.jpg
 
Tutajie huyo mmilik wa tigo,mtibwa na chama langu simba sport klabu
Yaani mimi naamini MTU mpaka umeweza kujiunga na kutumia JAMIIFORUMS ina maana una ELIMU ya kutosha ya kuweza kuelewa mambo.

Na sasa hivi WATU wamesoma na wameelimika. Taarifa sahihi utazipata kutoka sehemu sahihi na kwa WATU sahihi.

Ukitaka kufahamu mmiliki halali wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA, kuna LESENI YA MAWASILIANO YA TIGO TANZANIA 🇹🇿 na utaipata MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA 🇹🇿 [ TCRA ] na imeandikwa JINA LA MTU kabisa, lakini hii kampuni ya TIGO TANZANIA 🇹🇿 ipo chini ya kampuni mama ya MURZAH WILMAR EAST AFRICA LTD.

Na ukitaka kufahamu mmiliki halali wa timu ya mpira ya MTIBWA SUGAR FC, kuna LESENI YA KLABU YA MTIBWA SUGAR FC na utaipata BARAZA LA MICHEZO TANZANIA [ BMT ] na SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA [ TFF ] na imeandikwa JINA LA MTU kabisa, lakini hii timu ya mpira ya MTIBWA SUGAR FC ipo chini ya kiwanda cha SUKARI CHA MTIBWA kilichopo TULIANI - MOROGORO na hiki kiwanda cha SUKARI CHA MTIBWA kipo chini ya kampuni mama ya SUPERGROUP.

Na ukitaka kufahamu mmiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC, kuna LESENI YA KLABU YA SIMBA SC na utaipata BARAZA LA MICHEZO TANZANIA 🇹🇿 [ BMT ] na SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA 🇹🇿 [ TFF ] na imeandikwa JINA LA MTU kabisa.

Sasa mambo mengine yanayoendelea ni UTAPELI na kujipatia FEDHA kwa njia za UDANGANYIFU na MAMLAKA YA SERIKALI ilitakiwa kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea.
 
Kama ukipewa gari (Eicher) ya biashara mpya Kwa 16M ni Msaada tosha!!..
ukitumwa ukalete gari kweli mtu na akili zako timamu unaipeleka icha...tunazo ofisini hakuna gari mbovu kama hizo yani kimzigo kidogo tu excel inakatika....tena kwenye tambarale...ebu usisifie ujinga zungumzia wakina benzi...scania hivi kidogo kuna gari lakini hayo unayozungumzia wewe ni magari ya wanyonyaji...magari yanayomfanya mtu abaki kuwa masikini...na sio kuendelea
 
Wewe umeanza kufanya biashara ya Usafirishaji lini?!!...Unajua magari kweli au unataka kubishana hapa?!!..
 
Yaani mimi naamini MTU mpaka umeweza kujiunga na kutumia JAMIIFORUMS ina maana una ELIMU ya kutosha ya kuweza kuelewa mambo.

Na sasa hivi WATU wamesoma na wameelimika. Taarifa sahihi utazipata kutoka sehemu sahihi na kwa WATU sahihi.

Ukitaka kufahamu mmiliki halali wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO TANZANIA, kuna LESENI YA MAWASILIANO YA TIGO TANZANIA na utaipata MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA [ TCRA ] na imeandikwa JINA LA MTU kabisa, lakini hii kampuni ya TIGO TANZANIA ipo chini ya kampuni mama ya MURZAH WILMAR EAST AFRICA LTD.

Na ukitaka kufahamu mmiliki halali wa timu ya mpira ya MTIBWA SUGAR FC, kuna LESENI YA KLABU YA MTIBWA SUGAR FC na utaipata BARAZA LA MICHEZO TANZANIA [ BMT ] na SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA [ TFF ] na imeandikwa JINA LA MTU kabisa, lakini hii timu ya mpira ya MTIBWA SUGAR FC ipo chini ya kiwanda cha SUKARI CHA MTIBWA kilichopo TULIANI - MOROGORO na hiki kiwanda cha SUKARI CHA MTIBWA kipo chini ya kampuni mama ya SUPERGROUP.

Na ukitaka kufahamu mmiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC, kuna LESENI YA KLABU YA SIMBA SC na utaipata BARAZA LA MICHEZO TANZANIA [ BMT ] na SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA [ TFF ] na imeandikwa JINA LA MTU kabisa.

Sasa mambo mengine yanayoendelea ni UTAPELI na kujipatia FEDHA kwa njia za UDANGANYIFU na MAMLAKA YA SERIKALI ilitakiwa kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea.
Unazunguka sana mdau si kila MTU anaweza funga safar kwenda BMT au tff hata brela kufatilia mambo km hayo na ndio maana kuna whistleblower ambao wanafatilia vitu na kuujuza umma rejelea Pandora pepa mwaga mambo hayo tujue kinachoendelea
 
Mkuu fungua ukurasa mpya huo unakasoro nyingi, makampuni mengi Kama si yote Yana mkono mrefu was serikali, ndyo maana nchi hii si rahis kuzinduliwa kwa Rais wake, maana ukifanya chochote watu wanakuacha tuuuuu then wanakukamata Kama kuku..

Na hata viongoz wakuu huwa hawajui, mpka wanapokuja kujua wanaelezwaaa ndposaa wanakuwa kimya, fuatilia ndo utajua kwa nn media nyingi nyuma yake Kuna wanasiasa mashuhuriii,

Kwa nn manji na pesa zake kashindwa kuibadili yanga?? Na ninauhakika alikuja kujua baadae kuwa hawezi, na ndvyo na MO anakwenda kushindwa kuimiliki Simba, ila kote huko wajanja wanajipigia mafyeeza tu, mkuu ukipata ka upenyo we kulaaaa ukitosha unakaa pemben,
Ujinga nao ni kipaji, hongera
 
Mkuu tunaweza kubet ila ninauhakika hakuna Tim Kati ya hzi mbili zitakuja kuingia kwenye mfumo wa ubia/ Kama wanaoutaka Simba au waliowahi kuutaka yanga, kwa sabab hatujui Nan anamiliki hizi timu mbili,

Ok, tufanye Ni wazungu, kwa mjib wa maelezo yako, je kwenye ile satificate imeandikwa wazungu?? Nafikiri hapo ndipo mgogolo unapoanzia...
Hundi aliyotoa Mo ilikua ya kazi gani?? Au ulikua umefariki?
 
Kuna watu ni matapeli kuliko GSM,kuanzia enzi za HSC,nani asiyejua upigaji mkubwa walioufanya enzi za Awamu ya Nne! Ukiwa kwenye nyumba ya kioo usipende kurusha mawe! Ukiweka viwango vya Utapeli Home Shopping Center akak GSM ni wa kwanza Nchi hii wengine wanafuatia.
Wote ni matapeli ukiongezea na rugemalila
 
Hii ya Eicher n kweli, unajua zile daladala zao zina zaid ya mwaka haziruhusiw kuingia nchini hapa? Sijajua upande wa gari za mizigo lkn
Hizi 90% ni mikopo na waliokopa wengi walishindwa kurejesha!!..ikapigwa zengwe ni mabovu haya rudishi fedha!!...
 
Hiyo kampuni ya AFRICARRIERS ni kampuni inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA . Halafu kampuni zote zinazojihusisha na timu ya SIMBA SC ni kampuni ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA .

Na hali hii ipo hivyo hivyo kwa upande wa timu ya YANGA SC, kampuni zote zinazojihusisha na timu ya YANGA SC ni kampuni ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA , kasoro kampuni ya TAIFA GAS.

Hii "KARIAKOO DERBY" ya SIMBA SC na YANGA SC inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA . Yaani timu zote za SIMBA SC na YANGA SC ni timu ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA .

Na kwa kutumia LESENI ZA UMILIKI WA TIMU ZA MPIRA WA MIGUU zinazosoma TFF na BARAZA LA MICHEZO [ BMT ], kwa sasa hakuna timu inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA inayomilikiwa na WANACHAMA.

Kuna timu zinazomilikiwa na WATU BINAFSI! Kuna timu zinazomilikiwa na HALMASHAURI ZA MANISPAA & MAJIJI! Kuna timu zinazomilikiwa na KAMPUNI BINAFSI na kuna timu zinazomilikiwa na TAASISI ZA KISERIKALI.
Wewe jamaa ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom