Because hawajui what sales is all aboutBaadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine
Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka hamna hata kidogo ya usafiri unatumia gharama zako kuanzia kula,nauli na hata hela ya kuprintia fomu za mauzo,kodi
Kibaya zaidi hamna mshahara zaidi ya commission tu ambayo unaingiziwa mwisho wa mwezi na hiyo hiyo commission ndo kodi inakatwa humo,ambapo kupata mpaka upate mteja kiasi kwamba means ya kusurvive inakua haipo
Mpaka mzazi anajiuliza kazi gani unafanya ilihali kila siku unamlilia shida
Ndgu waajiri mjitafakari ni kazi kufanya kazi ambayo hata hamna ya kuishi unakosa kabisa
ANYWAY NAOMBENI KAZI
Yes mostly watu wa mauzo ndo mzizi wa kampuni yenyewe lakini kampuni inavyowachukulia Dah kazi sanaMoja ya watu wa kuwalipa vizuri na kuhakikisha hakukimbii ni hawa watu wa mauzo.
Hasa wale ambao tayari wameshakukamatia base ya wateja.
Kampn inaweza kuyumba tu kwa kuondokewa na hawa watu. Kun baadhi wanadhani ni bidhaa zao ndio zinawafanya watambe, kumbe ni watu wanaozipeleka hizo bidhaa sokoni.
Na kama wangejua salesman ndo roho ya kampuni wasingefanya hivyo,,mi yaliwahi nikuta kampuni moja hivi,ilikuwa ina deal na uuzaji wa unga wa ngano,maeneo ya tabata enzi hizo,na hasa hawa jamaa wa asili ya asia ni taabu sana aseh!! , ngoja niishie hapo inatia machungu sana.Baadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine
Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka hamna hata kidogo ya usafiri unatumia gharama zako kuanzia kula,nauli na hata hela ya kuprintia fomu za mauzo, kodi.
Kibaya zaidi hamna mshahara zaidi ya commission tu ambayo unaingiziwa mwisho wa mwezi na hiyo hiyo commission ndo kodi inakatwa humo, ambapo kupata mpaka upate mteja kiasi kwamba means ya kusurvive inakua haipo
Mpaka mzazi anajiuliza kazi gani unafanya ilihali kila siku unamlilia shida
Ndugu waajiri mjitafakari ni kazi kufanya kazi ambayo hata hamna ya kuishi unakosa kabisa
ANYWAY NAOMBENI KAZI
Khanji kapoor toa maelezo ya kina,usilete uswahili,sema kwanini mpo hivyoNa kama wangejua salesman ndo roho ya kampuni wasingefanya hivyo,,mi yaliwahi nikuta kampuni moja hivi,ilikuwa ina deal na uuzaji wa unga wa ngano,maeneo ya tabata enzi hizo,na hasa hawa jamaa wa asili ya asia ni taabu sana aseh!! , ngoja niishie hapo inatia machungu sana.
Kampuni za mafukara nyingi ambazo wamiliki na wao wanatafuta humo hump hela ya kula na ada. Ni shidaBaadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine
Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka hamna hata kidogo ya usafiri unatumia gharama zako kuanzia kula,nauli na hata hela ya kuprintia fomu za mauzo, kodi.
Kibaya zaidi hamna mshahara zaidi ya commission tu ambayo unaingiziwa mwisho wa mwezi na hiyo hiyo commission ndo kodi inakatwa humo, ambapo kupata mpaka upate mteja kiasi kwamba means ya kusurvive inakua haipo
Mpaka mzazi anajiuliza kazi gani unafanya ilihali kila siku unamlilia shida
Ndugu waajiri mjitafakari ni kazi kufanya kazi ambayo hata hamna ya kuishi unakosa kabisa
ANYWAY NAOMBENI KAZI
Naam mwambie ajeKhanji kapoor toa maelezo ya kina,usilete uswahili,sema kwanini mpo hivyo
Umeongea kwa uchungu sana na nakuelewa mno hasa kampuni za kihindi ni majanga .Baadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine
Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka hamna hata kidogo ya usafiri unatumia gharama zako kuanzia kula,nauli na hata hela ya kuprintia fomu za mauzo, kodi.
Kibaya zaidi hamna mshahara zaidi ya commission tu ambayo unaingiziwa mwisho wa mwezi na hiyo hiyo commission ndo kodi inakatwa humo, ambapo kupata mpaka upate mteja kiasi kwamba means ya kusurvive inakua haipo
Mpaka mzazi anajiuliza kazi gani unafanya ilihali kila siku unamlilia shida
Ndugu waajiri mjitafakari ni kazi kufanya kazi ambayo hata hamna ya kuishi unakosa kabisa
ANYWAY NAOMBENI KAZI
Sijawahi ona swala analia kutoliwa na Simba kuwa ahurumiwe. Hii ni dunia ya one dog eats another dog.Baadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine
Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka hamna hata kidogo ya usafiri unatumia gharama zako kuanzia kula,nauli na hata hela ya kuprintia fomu za mauzo, kodi.
Kibaya zaidi hamna mshahara zaidi ya commission tu ambayo unaingiziwa mwisho wa mwezi na hiyo hiyo commission ndo kodi inakatwa humo, ambapo kupata mpaka upate mteja kiasi kwamba means ya kusurvive inakua haipo
Mpaka mzazi anajiuliza kazi gani unafanya ilihali kila siku unamlilia shida
Ndugu waajiri mjitafakari ni kazi kufanya kazi ambayo hata hamna ya kuishi unakosa kabisa
ANYWAY NAOMBENI KAZI
Afungue kampuni yake aache kulalamikaKhanji kapoor toa maelezo ya kina,usilete uswahili,sema kwanini mpo hivyo
barabaWatu wa sales huwa hawalii njaa ndo uzuri wao,wanacheza na bei tu.
We hujui kitu,kaa kimyaUnacheza na bei wakati kuna control no Mteja analipia moja kwa moja na ni sheria hutakiwi kugusa hela ya Mteja na ikigundulika ni tatizo