Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Wacha waende tu huu ni wakati wa kulipa kodi na tena kwa wakatihii ina maana Tanzania itapoteza mapato iliyokuwa ikipata kutoka katika mzigo wa madini ya shaba ya tani 20,000 kila mwezi yaliyokuwa yakipita bandari ya salama kwenda ughaibuni.
kweli mkuu. tutaendesha nchi kwa kodi za miamala ya ATM machine.Wacha waende tu huu ni wakati wa kulipa kodi na tena kwa wakati
Mkuu miamala ni sehemu moja tu ila kuna watu wengi sana walifanya hii nchi shamba la bibikweli mkuu. tutaendesha nchi kwa kodi za miamala ya ATM machine.
Waende tu kama linalowafanya waende ni kukwepa kodi.
Matusi hayoNi kweli,tutaanza kutumia vyanzo vipya vilivyopendekezwa na wabunge "makini" wa ccm,sasa tutaanza kutoza kodi za kuku,mbuzi,bata,paka,panya,mbwa,kunguni,viroboto,chawa na kila mdudu atambaaye chini ya nchi,lengo likiwa ni kufikia kwa haraka Tanzania ya viwanda.
Hahaha hahaha hatare tutalipia kodi mpaka midoli yetu ya majumbaniNi kweli,tutaanza kutumia vyanzo vipya vilivyopendekezwa na wabunge "makini" wa ccm,sasa tutaanza kutoza kodi za kuku,mbuzi,bata,paka,panya,mbwa,kunguni,viroboto,chawa na kila mdudu atambaaye chini ya nchi,lengo likiwa ni kufikia kwa haraka Tanzania ya viwanda.
Hatari hiyoooHii nchi ya ovyo sana kama dikteta uchwara
Ukoo wa magu una asili ya kichaanchi iliyojaa mtaahira haina mwelekeo, wanadhani watapandisha kila kodi hovyo hovyo na wateja watasema ndiooo. upuuzi mtupu hii awamu ya tano.
Lete ushahidi sio unalilia lia hapa wewe mzibua vyoo wa lumumbaHao ni wakwepa khao hao