Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 458
Unajua siku hizi watu wanajitoa akili. Ukweli ni kwamba, kwenye swala zima la biashara, kuna Ground Rules zimeshawekwa, tayari Rules hizo zimeshakuwa desturi na tamaduni. Mtu akisajili kikampuni chake Brela kisha akawa na kiwebsite mtandaoni anaona kamaliza! anyway, kamaliza kwa wateja wa mtaani na nyumbani kwake.
Leo hii ukiangalia anuani za kampuni nyingi unakuta ni namba za simu za mkononi tatu!! za nini kama sio utapeli? hamna landline (kwamba ninaweza kukutrace kama ukiharibu maana huwezi kuhama hama), hamna Fax, na wengine wana email za gmail na hotmail! REALLY??
Cha ajabu zaidi, ukiwavisit site kwao, utawakuta wako ndani ya estate ambayo ni makazi yasiyo na anuani kwamba hapo kuna biashara halali iliyosajiliwa, halafu wanajiita "Corporate"! DAMN