Kampuni Ipi ni Noma kati ya Hizi

Kampuni Ipi ni Noma kati ya Hizi

Serengeti Breweries ndio kiboko cha kujitangaza. Tangazao lao la bia mpya ya sengereti limewagusa mpaka chekechea mitaani.

Ingawa bidhaa yao ina ukomo wa umri wa watumiaji kama sikosei miaka 18 kuelekea mpaka ukipenda kaburini. Cha kushangaza leo nimepishana na mtoto kama wa miaka 5 hivi ua chini ya hapo kidogo, akiamba wimbo wa "lete bia ninywe" wahusika mtusaidie tuokoe taifa la kesho.

Nimechomekae tu lakini, kwa sauti ya mh Rais Magufuli.

Na washawasha!
Ha haa haaaa.... mkuu wewe sio mtu wa mchezo mchezo...
 
Naona kama six group wana tenda nyingi Inawezekana ni bora.. Pia Kuna KAMPUNI inaitwa Mohammed construction nao wanaangusha majengo ya maana hasa huku upanga
 
OK duh, nilijimix mkuu
Shubash Patel ndo habari ya mjini..
Mhindi aliyekulia Bagamoyo...
Huyo ndio owner wa Motsun Holdings...
Bidhaa zote zenye chapa(brand) ya kiboko...
Yuko vizuri..
Jamaa anapiga kazi..
Estim Construction kwa kundi la kampuni za wazawa wako safi...
 
Shubash Patel ndo habari ya mjini..
Mhindi aliyekulia Bagamoyo...
Huyo ndio owner wa Motsun Holdings...
Bidhaa zote zenye chapa(brand) ya kiboko...
Yuko vizuri..
Jamaa anapiga kazi..
Estim Construction kwa kundi la kampuni za wazawa wako safi...
Mkuu Estim n wazawa?
 
Back
Top Bottom