Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 425
- 955
TRA mnadaiwa ngapiKampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo
1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company
2. Imesajiliwa: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (BRELA)
3. Mwaka wa usajili: 14 Januari 2012
4. Mtaji: Milioni 10 Tsh
5. Idadi ya wamiliki: 2
6. Shughuli inazofanya: Biashara zote halali kwa mujibu wa MEMORANDUM
7. Madeni: Inadaiwa annual returns BRELA sh 582,000 tu
8. Shughuli inazofanya kwa sasa: Haijawahi kufanya shughuli zozote. Ilikuwa "dormant"
9. Bei: 5mil Mazungumzo yapo
Huduma za muongozo ukinunua utasaidiwa kwa gharama zilizojuu
1. Kubadilisha jina (Brela ni sh 22,000)
Utasaidiwa vielelezo kwa kuandaliwa mkataba wa kisheria na kubadilishiwa jina ambapo gharama
2. Kubadilisha majina ya wamiliki utapata mwongozo pia kwa gharama nafuu
Kwa maelezo zaidi
Email: consultafrolinktz@gmail.com
Hotlines: 0659211222/0755411455/0777777766
Haidaiwi coz haikusajiliwa TRA. Simply sikuwahi kufanya biashara kwa kampuni hiiTRA mnadaiwa ngapi
Linauzwa jinaKwahiyo unaiuza na huo mtaji wa shilingi 10m kwa shilingi 5m au ndio unauza jina tu?
Kama hauiuzi na huo mtaji na kama haijawahi kufanya shughuli yoyote je mwenye kuinunua atafaidika vipi nayo?
Kimantiki si afadhali mtu akasajili kampuni mpya tu kwa gharama ya chini kuliko hiyo unayouza?
Hakuna maelezo yaliyosahaulika Mkuu. Inategemea na uhitaji wakoKusahljiri kampuni ya 10 m sio zaidi ya million sasa kwanini nianze kununua dormant company kwa kiasi hicho cha pesa!?unless kuna Maelezo umeyasahau!!
Tuingie makubaliano ya kulipa kwa miaka mitano.Nipo tayari kwa 3.2Mil.Kampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo
1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company
2. Imesajiliwa: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (BRELA)
3. Mwaka wa usajili: 14 Januari 2012
4. Mtaji: Milioni 10 Tsh
5. Idadi ya wamiliki: 2
6. Shughuli inazofanya: Biashara zote halali kwa mujibu wa MEMORANDUM
7. Madeni: Inadaiwa annual returns BRELA sh 582,000 tu
8. Shughuli inazofanya kwa sasa: Haijawahi kufanya shughuli zozote. Ilikuwa "dormant"
9. Bei: 5mil Mazungumzo yapo
Huduma za muongozo ukinunua utasaidiwa kwa gharama zilizojuu
1. Kubadilisha jina (Brela ni sh 22,000)
Utasaidiwa vielelezo kwa kuandaliwa mkataba wa kisheria na kubadilishiwa jina ambapo gharama
2. Kubadilisha majina ya wamiliki utapata mwongozo pia kwa gharama nafuu
Kwa maelezo zaidi
Email: consultafrolinktz@gmail.com
Hotlines: 0659211222/0755411455/0777777766
Hapana Mkuu, hatupo tayari kwa 'proposal' yakoTuingie makubaliano ya kulipa kwa miaka mitano.Nipo tayari kwa 3.2Mil.
Ukiridhika, njoo PM.
Mkuu deni ni hilo la BRELA ambalo ni 582,000 ambalo limejumlishwa katika bei ya mauzo kwa bei itakayofikiwa na mteja akihitajina madeni mnayodaiwa mnayauza pia??
Nashukuru kwa ushauri wakoKwa nionavyo mimi uko sahihi kusema kuwa unauza kampuni,ila kwa kuwa ina madeni sidhani kama hiyo bei unayotaja ina mantiki yoyote ile hasa ukizingatia kuwa kisingizio chake ni umri wa kampuni.
Ushauri wangu ni huu,Uza controlling shares kwa mtu ambaye anaweza kulitumia jina la kampuni,naamini inawezekana.Unaweza uza kwa mfano 51% tu kwa bei ambayo ni reasonable kwa masharti ya huyo mtu kuinjekt capital ili kampuni ijiendeshe.Ukifanya hivo ina maana utaweza kupata pesa kidogo na kisha ukaendelea kuw amkurugenzi wa kampuni hiyo lakini ukampa huyo aitakaey controlling shares.Naamini inawezekana.na ukiweka bei nzuri hutakosa watu wataokubali kutoa kama mili 1.5 just kuwa share holders wakuu kwenye hiyo business yako
Haviuzwi vitu hivi Mkuu.Me nna shida ya furniture za ofisini, zipo?
Hatuuzi vitu hivi mkuuniuzieni laptop na hizo meza
Kwani gharama ya kufungua kampuni mpya Brela ni kiasi gani? Tuanzie hapo kwanzaKampuni imesajiliwa inauzwa kwa wale wenye uhitaji wa kununua kampuni badala ya kusajili. Maelezo yake ni kama ifuatavyo
1. Aina ya kampuni: Kampuni yenye ukomi wa mtaji ie Private limited company
2. Imesajiliwa: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (BRELA)
3. Mwaka wa usajili: 14 Januari 2012
4. Mtaji: Milioni 10 Tsh
5. Idadi ya wamiliki: 2
6. Shughuli inazofanya: Biashara zote halali kwa mujibu wa MEMORANDUM
7. Madeni: Inadaiwa annual returns BRELA sh 582,000 tu
8. Shughuli inazofanya kwa sasa: Haijawahi kufanya shughuli zozote. Ilikuwa "dormant"
9. Bei: 5mil Mazungumzo yapo
Huduma za muongozo ukinunua utasaidiwa kwa gharama zilizojuu
1. Kubadilisha jina (Brela ni sh 22,000)
Utasaidiwa vielelezo kwa kuandaliwa mkataba wa kisheria na kubadilishiwa jina ambapo gharama
2. Kubadilisha majina ya wamiliki utapata mwongozo pia kwa gharama nafuu
Kwa maelezo zaidi
Email: consultafrolinktz@gmail.com
Hotlines: 0659211222/0755411455/0777777766
Inategemea na Mtaji wako ila haizidi mil 1.5. Na pili nadhani wengi wamejikita katika kufungu kampuni tu. Hiyo sio ishu kwa suala hiliKwani gharama ya kufungua kampuni mpya Brela ni kiasi gani? Tuanzie hapo kwanza