Kampuni gani ya simu kati ya hizi unaikubali?

Kampuni gani ya simu kati ya hizi unaikubali?

Napenda simu za samsung android touch , kwa kuwa tu ndio simu zinazopatikana na zinaonekana ni bora na bei nafuu ukilinganisha na lg-( poor signal reception) au apple ( bei ghali) lakini kila nikiangalia touch screen za motorola naona ziko bomba sana upande wa betri na signal reception (razr maxx 3300 ahm battery) tatizo hakuna wakala bongo ,mpaka uagize .
Nadhani idea yako ingekuwa na nguvu sana kama kungekuwa na aina nyingi za simu hapa kwetu,
 
Back
Top Bottom